Kazi Na Faida Zake
.Huupa mwili vitamin A
.Hufanya kazi kama kama antioxidant na kuondoa radikali huru (free radicals)
.Huzuia kansa hususani kansa ya tezi dume
.Huzuia kutokea kwa tatizo la atherosclerosis kwa kupunguza mafuta kwenye damu
Hufaa kwa:
.Huzuia kansa hususani kansa ya tezi dumeijana na watu wazima wenye upungufu wa Vitamin A
.Wanaume wenye matatizo ya tezi dume kama maambukizi kwenye tezi dume,uvimbe wa tezi dume na kansa ya tezi dume
.Watu wenye mafuta mengi kwenye damu
Viungo: Beta Carotene,Lycopene
Maelezo Muhimu
Uwezo wa B-Carotene Kuongeza Vitamin A
B-Carotene ni chembechembe zenye rangi nyekundu-orange kwenye karoti ambazo huipa karoti rangi ya orange na ni aina iliyozoeleka ya carotene kwenye mimea. Molekyuli moja ya b-carotene huvunjwa na vimeng'enyo vya utumbo mwembamba na kutengeneza molekyuli 2 za vitamin A,ambazo ni muhimu kwa ajili ya seli kugawanyika,husaidia mwili kukua,na huharakisha tishu za epithelia kutengenezwa upya. Ni muhimu pia katika ukuaji unaotakiwa wa mifupa,meno,vichanga na kulinda uwezo wa kuona.
B-Carotene & Lycopene kama Antioxidant
Uwezo Wa Kuzuia Kansa Wa B-carotene & Lycopene
B-carotene huzuia carcinogen kuvamia DNAs kwenye nucleous. Huzuia sele za kans akuzalian ana hivyo kuzuia kansa kusambaa.
Kulingana na utafiti wa watalaam wa afya wa kimarekani mwaka 1989,lycopene inaweza kuchelewesha kutokea kwa kansa ya tezi dume,hugundua uvimbe na kuzuia kansa ya tezi dume.
B-carotene & Lycopene Kama blood thinner
Mafuta katika mwili wa binadamu huwa katika namna ya triglyceride,cholestrol, na phospholipids. Nyingi huweza kuungana na protein na kutengeneza kampaundi ya Lipoprotein. Lipoprotein huweza kugawanywa katika low density lipoprotein (LDL) na high density lipoprotein (HDL).Kama kiwango cha LDL kwenye damu ni kikubwa,kuta za mishipa ya artery hupungua kipenyo,Atherosclerosis hutokea na hatari ya kupata mshituko wa moyo huongezeka. Hii ndio sababu LDL huitwa cholestrol mbaya. Kiwango cha HDL kinapokuwa kikubwa kwenye damu,hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo kwa kuondoa cholestrol mbaya kwenye damu na kuziepusha kujijenga kwenye kuta za mishipa ya artery. Hivyo HDL huitwa cholestrol nzuri.
B-carotene na Lycopene huwafaa wazee na vijana kuzuia damu kugandamana kwenye mishipa ya damu na kupunguza hatari ya shambulio la moyo (heart attack).