Tsh 60,000 |
1. IShine Capsule
Manufaa na Faida Zake:
-Huleta na kuboresha usingizi
-Hurekebisha matatizo ya usingizi kama vile kukosa usingizi,ndoto zisumbuazo usingizini
-Hutuliza mfumo wa neva
Huwafaa:
-Watu wenye matatizo ya usingizi
-Watu wenye usingizi dhaifu,
-Watu wenye hofu,msongo,uchovu endelevu na mfadhaiko
Tsh 75,000 |
2. Compound Marrow Powder
Faida Na Manufaa Yake:
-Huongeza calcium na magnesium ili kuondoa dalili za osteoporosis kama vile maumivu ya joint na lumbago (maumivu chini ya mgongo)
-Huimarisha utengenezwaji wa damu
-Huimarisha kinga: huondoa uchovu
-Huongeza ubora wa usingizi na kumbukumbu
-Huchelewesha kuzeeka
Huwafaa:
-Watu wenye upungufu wa calcium au wenye osteopororsis
-Watu wenye matatizo ya mifupa na maungio ya mifupa kama vile arthritis
-Watu wenye utapiamlo
-Watu wenye matatizo ya kinga
-Watu wenye anemia
Tsh 40,000 |
3. Kuding Tea
Faida na Manufaa Yake:
-Huzuia mafua
-Huondoa miwasho ya macho,wekundu wa macho na maumivu ya macho yatokanayo na vumbi
-Huboresha uwezo wa akili na kumbukumbu
-Huchochea mzunguko wa damu,hupunguza cholesterol,sukari na presha
-Husafisha na kuboresha mtiririko wa chakula
-Huzuia kudhoofika kwa utendaji kazi wa ubongo na moyo
-Huimarisha umri sahihi wa mwili
-Hufaa kutumiwa na watu wote isipokuwa wajawazito tu.
Kama una changamoto ya kupata usingizi,usisite kuwasiliana nasi ili upate bidhaa bora zitakazokusaidia bila kukuacha na madhara ya kikemikali, huku mwili wako ukiburudika kwa usingizi mwanana. Tuandikie kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie kupitia +255 673 923 959.