BORESHA KUMBUKUMBU

Kama unapitia wakati wa kutokuwa na kumbukumbu sahihi na unahangaika kurudia hali njema ya kuwa na kumbukumbu bora,bidhaa zifuatazo zinawe... thumbnail 1 summary


Kama unapitia wakati wa kutokuwa na kumbukumbu sahihi na unahangaika kurudia hali njema ya kuwa na kumbukumbu bora,bidhaa zifuatazo zinaweza kuresha hali yako bora ya kumbukumbu:


1. Ginkgo Biloba


Tsh 65,000

Manufaa Na Faida Zake

-Huondoa radikali huru na kuzuia uharibifu wa viungo na tishu unaotokana na umri
-Huongeza kiwango cha oksijen kwenye ubongo na hivyo huboresha kumbukumbu
-Huzuia kuzeeka kwa misuli
-Huzuia na kuponya maumivu ya misuli ya miguu
-Hufaa kutumiwa na watu wanaopoteza kumbukumbu,watu wenye ugonjwa wa Alzheimer na Dementia,watu wazima wanaohitaji kuzuia kudhoofika kwa ubongo kunakotokana na umri,watu wenye maumivu ya miguu kwa kukosa damu vyema,watu wazima wanaohitaji kuboresha kumbukumbu.

Tsh 75,000

2. Soybean Lecithin Capsule


Manufaa na Faida Zake

-Huunda kuta za nje za seli
-Huimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo
-Hupunguza kiwango cha mafuta kwenye damu kwa kubadili LDL kuwa HDL
-Hulinda Ini na kuboresha utendaji kazi wake
-Huwafaa watu wenye nia ya kuboresha kumbukumbu,wenye mafuta mengi kwenye damu na magonjwa ya ubongo na moyo na watu wenye matatizo ya ini kama vile ini lenye mafuta,hepatitis na ini lililoharibika.


3. Kuding Tea


Tsh 40,000

Manufaa na Faida Zake

-Huzuia mafua
-Huondoa miwasho ya macho,wekundu wa macho na maumivu ya macho yatokanayo na vumbi
-Huboresha uwezo wa akili na kumbukumbu
-Huchochea mzunguko wa damu,hupunguza cholesterol,sukari na presha
-Husafisha na kuboresha mtiririko wa chakula
-Huzuia kudhoofika kwa utendaji kazi wa ubongo na moyo
-Huimarisha umri sahihi wa mwili
-Hufaa kutumiwa na watu wote isipokuwa wajawazito tu.



Kwa msaada wa karibu kupata bidhaa hizi,tafadhali wasilisana nasi kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie 0673 923 959 sasa.