WANACHAMA WA GREENWORLD TANZANIA

Swali kubwa linaloweza kuwa linazunguka akilini mwako huenda ni hili: Nani anastahili kuwa mwanachama wa kampuni hii ya Greenworld?... thumbnail 1 summary





Swali kubwa linaloweza kuwa linazunguka akilini mwako huenda ni hili: Nani anastahili kuwa mwanachama wa kampuni hii ya Greenworld? Je nami naweza kuwa mwanachama? Itanifaidia nini kuwa mwanachama? Kama haya ni baadhi au ndiyo maswali yako,basi usibanduke hapo,mada hii inayo majibu yote.



Nani Anastahili Kuwa Mwanachama Wa Green world?



Mtu yeyote aweza kuwa na mwanachama wa Green world Tanzania. Uanachama wa mwanachama kwenye kampuni ya Green world,haujalishi elimu,jinsia, rangi,uraia ama kipato. Kwa ufupi kuna makusudi mawili ya Green world: kutengeneza na kusambaza bidhaa bora kwa ajili ya afya na kuinua uchumi wa wanachama pale anapowashirikisha watu wengine kutumia na kuuza bidhaa za Green world. Kwa hiyo mtu yeyote kati ya hawa aweza kuwa mwanachama wa Green world:


1. Mtu yeyote anayehitaji kuboresha afya.




Kwa kuwa bidhaa zetu ni lishe,zinamfaa kila mtu. Awe ni mwenye afya ya kati (sub-health),anayeumwa (sick) na asiyeumwa (healthy) ni muhimu kwake kutumia bidhaa za green world. Watu wengi wako katika hali hii ya kuwa na afya ya kati (sub-health) na ni wachache sana walio na afya kabisa,kwa takwimu za shirika la afya duniani (WHO) ni chini ya 5% duniani kote. Kwa kusema hivi ni kukwambia kuwa una wajibu wa kulinda afya kwa kuondoa sumu zinazoongezeka mara kwa mara kupitia vyakula na hali za kimazingira,kuongeza kinga ya mwili,kuongeza vitamini ambazo umekuwa ukizikosa kila siku katika chakula unachokula.

Ushauri wangu ni kuwa badala ya kununua bidhaa kwa matumizi binafsi kwa bei ya rejareja mara kwa mara,ni vizuri ukajiunga moja kwa moja ili uwe unanunua kwa bei ya mwanachama. Hii itakusaidia pia kuwanunulia ndugu,jamaa na marafiki ili waboreshe afya zao kwa bei ya wanachama,upo hapo!


2. Mtu yeyote anayeumwa




Bidhaa zetu zina uwezo mkubwa wa kudhibiti matatizo mengi sana yaliyo hatarishi na ambayo husumbua jamii kwa kiasi kikubwa. Labda nirudie kile nilichosema hapo kabla kuwa bidhaa za green world,hushughulika na chanzo cha tatizo na siyo tatizo. Njia bora ya kuzuia madhara yatokanayo na mti wenye uhaKama chanzo kimebainika vema na bidhaa sahihi zikatumika,basi utaona mabadiliko siku si nyingi na afya yako kuimarika.


3.Mjasiriamali




Kama tunavyojua kuwa mjasiliamali ni mtu anayebuni fursa na kuzifanyia kazi. Katika kampuni ya  green world ni mahali sahihi kwa mjasiliamali kuwekeza,kwa sababu biashara ya kampuni ya green world haina hatari ya kupata hasara. Nasema hivyo kwa sababu,tofauti na makampuni mengine uliyowahi kuwa nayo ama kuyaona,green world unajipangia cha kufanya ili mradi usivunje utaratibu,kwa sababu ukijiunga tayari inakuwa ni biashara yako. Kama ambavyo ungeweza kuendesha biashara nyingine yoyote kwa uhuru na kujiamini,hapa pia una uhuru wa kujenga biashara yako kwa jinsi utakavyoona inakufaa kwa faida kubwa.


4. Mwenye Mtaji Na Hajui Afanye Nini



Kuna watu katika jamii wana pesa na hawajui wafanye nini. Na hii ni hatari maana ukiangukia mikononi mwa matapeli watakudanganya na kukuingiza kwenye biashara ambazo zitakutia hasara ya milele. Naomba nikushauri kuwa green world ni mahali sahihi na salama unapoweza kuwekeza kiasi chochote cha fedha bila kupata hasara kwa sababu ya mfumo wa biashara ya green world ulivyo.







Hii ni kwa sababu ya ubora wa bidhaa za green world. Ukweli ni kwamba mtu yeyote aliyefanikiwa kutumia bidhaa za green world hataweza kukaa kimya bila kumwambia ndugu,jamaa ama rafiki juu ya ubora wake. Labda hata wewe unajiuliza ukweli wa haya ninayosema hapa kwa sababu hujafanikiwa kuzitumia hata kidogo. Kwa kusema hivyo nataka kukuonesha kuwa soko la bidhaa zetu ni kubwa mno na linaongezeka kila siku. Wengi wametengeneza maduka ya bidhaa hizi,na wengine kliniki kwa ajili ya bidhaa hizi.



5.Mtu Asiye na Mtaji Na Anataka Biashara

Geen world tofauti na makampuni mengi ya mtandao unayoyafahamu,kuanza biashara kwa urahisi sana kuliko unavyoweza kufikiri. Wewe tafuta 30,000/= kisha njoo ujiunge na green world nasi tutakufundisha jinsi ya kutafuta masoko na haraka kabisa unaanza kuingiza pesa na kujenga biashara yako. Nakuhakikishia,kama hubabaishi,green world itakutoa baada ya muda mfupi. Kwa mfano utakapopata gari ndani ya mwaka mmoja wa kujiunga na green world bila pesa,yatakuwa mafanikio madogo kwako? Tafakari chkua hatua!



Jinsi Ya Kujiunga Na Green World


Kama nilivyodokeza hapo juu,kujiunga na green world ni rahisi sana kuliko unavyodhani. Ni kwa kianzio cha Tshs 35,000 tu. unakuwa mwanachama kamili wa green world. Kama ni uamuzi wako kujiunga na Green world Tanzania,tafadhali wasiliana nami kupitia simu namba 0673 923 959 na utapata maelekezo sahihi jinsi ya kujiunga na green world Tanzania.