CALCIUM

Kazi Na Faida Za Calcium .Kujenga afya ya mifupa na meno .Kuzuia mifupa kuwa myepesi na kuvunjika .Kuzuia maumivu kabla ya Hedhi (Pre... thumbnail 1 summary


Kazi Na Faida Za Calcium


.Kujenga afya ya mifupa na meno
.Kuzuia mifupa kuwa myepesi na kuvunjika
.Kuzuia maumivu kabla ya Hedhi (Premenstrual Syndrome-PMS)
.Kuzuia maumivu wakati wa Hedhi (Dysmenorrhea)
.Huzuia matatizo baada ya kukoma hedhi
.Huboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyo
.Huboresha mawasiliano ya neva
.Huzuia matatizo ya kubanwa misuli (muscle spams),maumivu ya mapaja,mikono na kwapani.
.Huzuia kutokwa jasho usiku
.Huondoa na kuzuia kujengwa kwa mtoto wa jicho (cataracts)
.Huzuia tatizo la kutoona mbali (myopia)


Maelezo Muhimu


Kuhusu Calcium


Calcium hufanya kazi kubwa ya kuimarisha utendaji kazi wa mwili. Ni madini yanayochukua nafasi kubwa mwilini,hupatikana katika baadhi ya vyakula,huongezwa kwa baadhi,hupatikana kama virutubisho, na hupatikana katika baadhi ya madawa (kwa mfano antacids). Calcium hutakiwa kwa ajili ya kusaidia: kutanuka na kujiminya kwa mishipa ya damu (vasoconstriction and vasodilation),usafirishaji taarifa ndani ya neva,kuwasiliana kwa seli,na kutengenezwa kwa homoni,japo chini ya 1% ya tu calcium hutosha kufanya kazi zote hizo.





Uhifadhi Wa Calcium Kwenye Mifupa Na Meno


Mwili hutumia tishu za mifupa kama chanzo na sehemu ya kutunzia calcium,kuimarisha kiwango sawa  cha calcium kwenye damu,misuli na maji kati ya seli. Asilimia 99% ya calcium inayosalia hutunzwa kwenye mifupa na meno ambapo husaidia muundo na kazi zake. Mifupa kwa peke yake,huendelea kujitengeneza kwa kufyonzwa na kuhifadhiwa kwenye mifupa mipya.



Matumizi Ya Calcium Kulingana Na Umri


Uwiano kati ya kufyonzwa na kuhifadhi mifupa hubadilika kulingana na umri. Mifupa kujengwa huwa katika kiwango kikubwa katika kipindi cha ukuaji wa watoto na vijana kuliko kufyonzwa kwake,ambapo katika umri wa kati wa utu uzima,matendo haya huwa sawa.Kwa watu wenye umri mkubwa,hususani kwa wanawake wanaoelekea kukoma hedhi,kuvunjika kwa mifupa huzidi kujengwa kwake,na kupelekea mifupa kupotea jambo linalosababisha osteoporosis.


Kuzuia Kudhoofika Kwa Mifupa (Osteoporosis)


Calcium ni muhimu kwa watoto na vijana.Calcium hukoma kuingizwa mwilini kuanzia miaka ya 20 na huanza kupungua kwenye miaka ya 30 ambapo unywonywaji wake huwa mkubwa kuliko utengenezwaji wake. Kutumia calcium kwa wingi kwa watoto na vijana huimarisha mifupa na kupunguza kudhoofika kwa kadri umri unavyoongezeka.


Calcium Na Afya Ya Moyo


Kiwango sawa cha calcium husaidia mawasiliano ya neva na misuli. Calcium husaidia misuli ya moyo kukaza na kulegea kwa ufanisi. Calcium husaidia kuweka sawia kiwango cha presha ya mwili.

Calcium Na Matatizo Maumivu Kabla Ya Hedhi


Kama mwili utakosa calcium na vitamin D ya kutosha,homoni zinazosimamia calcium mwilini (yaani parathyroid na calcitrol) hukinzana na oestrogen na progesterone (homoni za kike) na kusababisha maumivu kabla ya hedhi (Premenstrual Syndrome-PMS)


Calcium Na Mtoto Wa Jicho (Cataracts)


Mtoto wa jicho husababishwa na upungufu wa calcium katika damu au kushindwa kufanya vizuri kwa homoni ya parathyroid. Matumizi ya calcium yanazuia ujengwaji huu wa mtoto wa jicho.




Calcium Capsule

Viungo: Nano Calcium

Hufaa Kwa:

.Watu wazima wanaoshindwa kupata calcium kila iku kwenye vyakula vyao

.Watu wazima wenye upungufu wa Calcium

.Wanawake wajawazito na wanaonyonyesha

.Wanawake waliokoma hedhi





Calcium Tablet for Adults

Viungo: Nano milk calcium,sucrose,starch

Hufaa kwa:


.Watu wazima wanaoshindwa kupata calcium kila iku kwenye vyakula vyao

.Watu wazima wenye upungufu wa Calcium

.Wanawake wajawazito na wanaonyonyesha

.Wanawake waliokoma hedhi






Calcium Tablet for Children
Viungo: Nano milk calcium,sucrose,starch

Hufaa kwa:

.Watoto au vijana wadogo ambao hawawezi kupata calcium katika chakula chao cha kila siku

.Watoto au vijana wadogo wenye upungufu wa calcium


Nunua Calcium sasa: