ALOE VERA

Kazi Na Faida Za Aloe Vera .Huboresha mtiririko wa chakula tumboni na huongeza kasi ya kutoa sumu mwilini .Huondoa dalili za uvimb... thumbnail 1 summary




Kazi Na Faida Za Aloe Vera




.Huboresha mtiririko wa chakula tumboni na huongeza kasi ya kutoa sumu mwilini
.Huondoa dalili za uvimbe
.Hupunguza maumivu na kuondoa joto la ndani ya mwili

Hufaa Kwa:

.Watu wenye matatizo ya tumbo kama kuhara sugu
.Watu wenye tatizo la kufunga choo
.Watu  wenye matatizo sugu ya uvimbe na matatizo ya ngozi


Viungo: Concentrated utra-fine powders of aloe vera,Grape seed extract,Vitanin E



Maelezo Muhimu




Kusaidia Mtiririko mzuri wa chakula tumboni



Aloe vera ni kiwakilishi cha kitu kichungu kinachosaidia mmeng'enyo. Ina aloin,aloe pyridine ambayo huchochea hamu ya kula na kupunguza kuhara kwa utumbo mpana. Vitu vilivyo kwenye aloe huweza kuongeza utengenezwaji wa majimaji kwenye utumbo mwembamba,kuongeza utendaji kazi wa lipase na kuchochea autonomic nerves za utumbo mpana zilizolala. Watu wenye matatizo ya kukosa choo wakitumia Aloe vera,huweza kuwa na mmeng'enyo kwa haraka na hivyo Aloe vera imekuwa ikichhukuliwa kama bidhaa bora ya kuondoa matatizo ya kukosa choo kote ulimwenguni.


Huua Wadudu Na Kuzuia Uvimbe



Mchanganyiko wa Aloe una uwezo mkubwa ya kuwazuia bacteria,ina uwezo wa kuwaua na hivyo kuifanya kuwa bora kabis akatika dawa za antibiotic. Aloe vera pia hudhoofisha uwezo wa seli  kupinga dawa za kuuwa wadudu. Zaidi sana inaweza kuua bacteria wenye madhara waliotokana na matumizi ya antibiotic kwa wingi na kuifanya iwe ni bidhaa bora ya antibiotic na kuzuia bacteria.



Huuondoa Sumu


Amylase iliyo kwenye Aloe vera husafisha ini,huchochea mzunguko wa damu kwenye ini,husaidia kurejesha utendaji kazi waini na kusaidia kuponya ini. Aloe pia huondoa au kupunguza athari zinazotokana na matumizi ya dawa za kuondoa uvimbe,anti-histimine na huboresha leukocyte zinazopungua.


Huondoa Maumivu Na Kupoza Mwili


Aloe huondoa maumivu haraka na kwa ufasaha bila madhara. Amylose iliyo kwenye Aloe hutuliza neva na kuondoa joto mwilini. Huondoa magonjwa ya utando laini wa ngozi ya tumbo na magonjwa ya moyo.


Nunua Aloe Vera sasa: