Kazi Na Faida Za Cordyceps
.Huboresha kinga dhidi ya mashambulizi ya wadudu
.Huwa na tabia ya kuzuia kansa
.Huongeza nguvu kwa wenye tatizo sugu la uchovu
Hufaa Kwa:
.Watu wenye matatizo ya kinga
.Watu wenye utendaji dhaifu wa ini,mapafu na figo
.Watu wazima wenye afya dhaifu
.Watu wenye uchovu sugu
.Wanariadha wenye uhitaji wa nishati
Viungo: Cordyceps sinensis mycelium,Radix ginseng
Maelezo Ya Muhimu
Kuhusu Cordyceps Sinensis
Cordyceps sinensis imesifiwa kwa karne nyingi katika dawa asili za china. Kwa asili inapatikana katika milima mirefu ya Himalaya na hivyo ni vigumu kuivuna. Kwa sababu ya ugumu huo,cordyceps imekuwa ni miongoni mwa dawa za asili zenye gharama kubwa sana. Gharama yake ya juu,iliifanya cordyceps kupatikana kwenye majumba ya kifalme na watu maarufu nchini china.
Mfumo wa kilimo wa kisasa,umefanya ipatikane na kupunguza gharama yake kwenye soko la kiulimwengu na kupelekea utafiti mkubwa ufanyike juu ya manufaa yake kiafya. Cordyceps imejulikana kuwa na cordyceps sinensis polysaccharides,cordyceps sinesis acid,cordcepin na adenosine zilizo muhimu sana kwa afya ya bimadamu.
Huinua Kinga Ya Mwili
Cordyceps capsule huimarisha mfumo wa kinga ya mwili na kusaidia kuzuia na kuhimili mashambulizi ya wadudu kama bacteria,virusi na parasites.
Manufaa kwenye Mfumo Kwenye Upumuaji
Cordyceps huimarisha mfumo wa upumuaji. NI ya muhimu kwenye kikohozi sugu,matatizo ya mapafu,kifua kikuu na asthma.
Manufaa kwenye Figo
Kwa asili cordyceps na ginseng zimekuwa zikitumika kuzipa figo nguvu. Kitabibu imethibitika kuwa cordyceps huboresha kwa ufanisi utendaji kazi wa figo na kazi ya kuimarisha kinga kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na renal failure (figo kushindwa kufanya kazi).
Manufaa Kwenya Ini
Cordyceps imeonekana katika tafiti zote za kitabibu kuongeza ubora wa utendaji kazi wa ini. Katika Asia,cordyceps imetumiwa kama tiba asilia kwa ajili ya hepatitis B na C.
Uwezo Wa Kuzuia Kansa
Uwezo wa kuzuia uvimbe na uwezo wa kuamusha kinga vimebainika katika tiba ya uvimbe na kansa pale cordyceps ilipotumika kwa pamoja na chomotherapy,mionzi na dawa zingine za hospitali na za kienyeji kutibu kansa.
Nunua Cordyceps Sasa: