Leo ninataka kukuonesha ndugu msomaji kuwa ugonjwa wa kiharusi (stroke), ni tatizo linaloweza kupata ufumbuzi kupitia bidhaa za Green world. Lakini ikumbukwe kuwa ugonjwa wa kiharusi una aina kuu tatu,na dawa za greenworld zinaweza kufanya kazi vizuri katika aina mbili ambazo ni Ischemic na Transient Ischemic stroke. Hapa mtu hupata kiharusi kutokana na kuziba mishipa ya damu pale damu inapoganda na kutengeneza bonge (plaque) linalozuia damu kupita. Kwa hiyo aina ya kiharusi itokanayo na mishipa ya damu kwenye ubongo kupasuka haiwezi kupata suluhisho kwa dawa hizi.
Karibu,
1. Super CoQ-10
Manufaa na Faida Zake
Tsh 75,000
-Huboresha utengenezwaji wa nishati kwenye seli za mwili,hususani seli za misuli ya moyo (Myocardial cells) na seli za neva
-Huboresha kinga
-Huzuia na kuondoa magonjwa ya ubongo na moyo
-Huboresha stamina na uimara wa mwili kwa ujumla
>Hufaa kutumiwa na:
-Watu wenye magonjwa ya moyo kama heart attack,Heart failure,shinikizo la juu la damu,Lehemu nyingi,Angina,kiharusi n.k
-Watu wanaosumbuliwa na viungo muhimu vilivyodhurika kutokana na chemo na mionzi
-Watu wenye kisukari,uchovu endelevu na wanaojiandaa kufanyiwa upasuaji wa moyo
2. Deep Sea Fish Oil Softgel
Tsh 80,000 |
-Hupunguza kiwango cha mafuta (lipid)kama vile cholestrol na Triglycerides yanayozunguka kwenye damu
-Hupunguza uvimbe wowote mwilini
-Hupunguza mrundikano wa chembe za damu (platelet aggregation);huzuia kuganda kwingi kwa damu
-Hutanua na kutuliza mishipa ya ateri;huzuia ateri kuvimba
-Huwafaa watu wenye matatizo ya ubongo na moyo,wenye kisukari aina ya 2,wenye matatizo ya mifupa na joints kama vile Osteoporosis na Arthritis na watu wazima wenye upungufu wa Omega-3 essential fatty acids
3.Garlic Oil Softgel
Tsh 60,000 |
Manufaa Na Faida Zake
-Huzuia na kuua aina nyingi za vijidudu vya magonjwa kutokana na tabia yake ya kuua vijidudu
-Hufanya damu kuwa nyembamba na kupunguza kiwango cha cholesterol (lehemu)
-Huzuia atherosclerosis na magonjwa mengine ya damu yasababishwayo na chanzo kile kile
-Hulinda mifumo ya moyo na ubongo kutokana na tabia yake ya kushusha presha
-Hufaa kutumiwa na watu wenye matatizo ya high blood pressure,sukari nyingi kwenye damu,lehemu nyingi kwenye damu na wenye magonjwa ya muda mrefu ya mambukizi kama vile candindiasis
Tsh 75,000 |
4. Soybean Lecithin Capsule
Manufaa na Faida Zake
-Huunda kuta za nje za seli
-Huimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo
-Hupunguza kiwango cha mafuta kwenye damu kwa kubadili LDL kuwa HDL
-Hulinda Ini na kuboresha utendaji kazi wake
-Huwafaa watu wenye nia ya kuboresha kumbukumbu,wenye mafuta mengi kwenye damu na magonjwa ya ubongo na moyo na watu wenye matatizo ya ini kama vile ini lenye mafuta,hepatitis na ini lililoharibika.
Tsh 40,000 |
5. Lipid Care Tea
Manufaa na Faida Zake
-Hurekebisha kiwango cha mafuta kwenye damu
-Huongeza utengenezwaji wa nishati kutokana na mafuta kwa kasi na kusaidia kupunguza uzito
-Hutoa uchafu na kuupendezesha mwili
-Hufaa kutumiwa na watu wenye familia zenye historia mafuta mengi (hyperlipidemia),watu wenye unene au uzito kupita kiasi na pia watu wenye ini lenye mafuta.
Dawa hizi zitasaidia kufungua mishipa ya damu iliyoziba na kuondoa bonge la damu lililoganda na kuzuia damu isitembee vizuri. Kama wewe au unaye ndugu aliyepooza,usisite kupata msaada kupitia dawa za greenworld. Wasiliana nasi kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie 0673 923 959 kupata/kuagiza dawa.