Kazi Na Faida Zake
.Huongeza calcium na magnesium mwilini na hivyo kuondoa dalili za Osteoporosis kama vile misuli kuuma na maumivu ya mgongo
.Huboresha kinga ya mwili;
.Huondoa uchovu (fatique)
.Huboresha usingizi na kumbukumbu
.Huzuia uzee
Hufaa Kwa:
.Watu wenye upungufu wa calcium au osteoporosis
.Watu wenye matatizo ya mifupa na misuli kama vile Arthritis
.Watu wenye utapiamlo
.Watu wenye matatizo ya kinga
.Watu wenye upungufu wa damu
Viungo: Marrow Powder (Tibet Yak Brain,Spinal Cord,Marrow),Lecithin,Protein Powder,Buckweat Powder,Vitamins,Iron,Magnesium,Calcium
Maelezo Muhimu
Tibet Yak
Yaks huishi kwenye maeneo ya Qinghai-Tibet Plateu-ambayo ni maeneo safi yenye nyasi asilia mita 4500 toka usawa wa bahari.Maeneo haya yaliyo na upungufu wa oxygen hutengeneza viumbe wa kipekee wenye miili imara yenye utendaji bora wa mapafu na moyo. Kiwango cha chembe hai nyekundu na haemoglobin ni kikubwa kuliko wanyam awengine. Yak ana uwezo mkubwa wa kuchukua oxygen ambayo inapunguza uchovu.
Yak Marrow
Marrow ni sehemu yenye virutubisho vingi kwenye yak. Mifupa mibichi ya yak na marrow (ubongo,ugwe mgongo na bone marrow) ina virutubisho mbali mbali ambavyo hurutubisha ubongo,mifupa na mfumo wa damu wa binadamu. Sehemu yenye greasy ya marrow,huondolewa na kubakia sehemu yenye manufaa inayotumika kutengeneza compound marrow powder ya Green world. Aina tatu za marrow kw apamoja hutengeneza virutubisho muhimu zaidi ya vile ambavyo vingetengenezwa na aina moja ya marrow.
Manufaa Kwenye Ubongo
Brain phospholipids,lecithins,neuro phospholipids,neuro growth factor,polypeptides zilizo kwenye compound marrow powder ni chakula cha ubongo ambacho huimarisha mfumo wa fahamu.
Manufaa Kwenye Mifupa Na Misuli
Compound Morrow Powder ya green world huongeza virutubisho vya calcium,phosphorus,collagens na chondroitn kwa ajili ya afya ya mifupa na misuli.
Manufaa Kwenye Utengenezaji Wa Damu
Marrow ni kitu laini kinachopatikana ndani ya mifupa ambamo chembe hai za damu hutengenezwa. Kama chanzo cha chakula,bone marrow huupa mwili virutubisho vyote vutakiwavyo ili kuzalisha cell za damu.
Nunua Comound Marrow Sasa: