A-POWER

Kazi Na Faida Za A-Power .Huinua kinga ya mwili kwa kuboresha mfumo wa kinga wa seli .Huzuia na kusaidia kutibu kansa pale ikitumika... thumbnail 1 summary



Kazi Na Faida Za A-Power


.Huinua kinga ya mwili kwa kuboresha mfumo wa kinga wa seli
.Huzuia na kusaidia kutibu kansa pale ikitumika kwa pamoja na dawa zingine za kutibu kansa

Hufaa Kwa:

.Watu wenye matatizo ya kinga kama vile magonjwa ya kinga (autoimmune diseases) na magonjwa ya kuambukiza (inflammation diseases)
.Watu wenye upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI)
.Watu wenye aina mbalimbali za kansa


Viungo: Fructus Hippophae,Herba Anoectochilus,Ganoderma,Radix Ginseng,Folium Camellia Extractum


Maelezo Muhimu



Uwezo Wa Kuzuia Kansa Wa Fructu Hippophae


Fructu Hippophae pia huitwa Sea Buckthorn,ikijumuisha viungo kama vitamin C,carotenoids,catechin,gallocatechin,epigallocatechin,flavonoids na ursoic acid,ambayo huzuia kukua na kuongezeka kwa uvimbe (tumor).


Kuongeza Kinga Ya Mwili



Fructus Hippophae huchochea macrophages (aina mojawapo ya chembe hai nyeupe za damu) zikamate na kumeng'enya mabaki ya damu na wadudu. Pia huchochea lymphocytes  na chembe hai nyingine za kinga kushambambulia wadudu,na hivyo huongeza kinga ya seli za mwili kwa ufanisi mkubwa.



Upungufu Wa Kinga Mwilini (HIV/AIDS)



VVU ni virusi vya ukimwi na UKIMWI ni upungupu wa kinga mwilini. UKIMWI ni hatua ya maendeleo ya virusi. VVU mara nyingi huenea kupitia ngono isiyo salam ana mwathrika. Akina mama wajawazito pia huweza kusababisha VVU kuwapata watoto wakati wa ujauzito ama kujifungua.Dalili za mwanzo za VVU huweza kuwa kuvimba kwa tezi na mafua. Dalili hizi huja na kutoweka kwa mwezi hadi miwili baada ya maambukizi. Dalili huongezeka zaidi na kuwa mbaya baada ya miezi kadhaa hadi mwaka. Kipimo cha damu ndicho huweza kujulisha kama mtu fulani ana maambukizi ya VVU. Hakuna tiba ila tu kuna baadhi ya madawa na virutubisho vinavyoweza kupambana na VVU na maambukizi yanayoweza kuletwa na kansa. Watu huweza kuishi na ugonjwa kwa muda mrefu.


A-Power Husaidiaje?



A-power Capsule yenye uwingi wa viungo vya asili huweza kuinua kinga ya mwili,hugundua seli za  uvimbe,na pia huboresha afya ya watu wenye VVU/UKIMWI.




Nunua A-Power: