PATA DAWA YA SHINIKIZO LA DAMU

1. Cardio Power Capsule Manufaa na Faida Zake Tsh 60,000 -Hupunguza mafuta kwenye damu,uzito wa damu,huzuia kurundikana kwa plate... thumbnail 1 summary


1. Cardio Power Capsule



Manufaa na Faida Zake

Tsh 60,000
-Hupunguza mafuta kwenye damu,uzito wa damu,huzuia kurundikana kwa platelet na kupunguza hatari ya kupata atherosclerosis
-Hutanua mishipa ya ateri inayopeleka damu kwenye moyo na kwenye ubongo,huongeza mzunguko wa damu kwenye mishipa ya coronary,huboresha usambazwaji wa damu kwenye ubongo na moyo.
-Hutanua ateri za coronary,huweza kuondoa tatizo la angina pectoris
-Hufaa kutumiwa :
-Watu wenye shinikizo la damu (hypertension)
-Watu wenye atherosclerosis (kitendo cha mishipa ya damu kupungua kipenyo na kutokana na kugandamana kwa lehemu)
-Watu wenye angina pectoris (maumivu kifuani kutokana na kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye moyo)
-Watu wenye matatizo ya mishipa na misuli ya moyo
-Watu wanaopata uangalifu kutokana na myocardial infraction


2. Garlic Oil Softgel

Tsh 60,000


Manufaa Na Faida Zake

-Huzuia na kuua aina nyingi za vijidudu vya magonjwa kutokana na tabia yake ya kuua vijidudu
-Hufanya damu kuwa nyembamba na kupunguza kiwango cha cholesterol
-Huzuia atherosclerosis na magonjwa mengine ya damu yasababishwayo na chanzo kile kile
-Hulinda mifumo ya moyo na ubongo kutokana na tabia yake ya kushusha presha
-Hufaa kutumiwa na watu wenye matatizo ya high blood pressure,sukari nyingi kwenye damu,lehemu nyingi kwenye damu na wenye magonjwa ya muda mrefu ya mambukizi kama vile candindiasis


Tsh 40,000

3. Lipid Care Tea



Manufaa na Faida Zake

-Hurekebisha kiwango cha mafuta kwenye damu
-Huongeza utengenezwaji wa nishati kutokana na mafuta kwa kasi na kusaidia kupunguza uzito
-Hutoa uchafu na kuupendezesha mwili
-Hufaa kutumiwa na watu wenye familia zenye historia mafuta mengi (hyperlipidemia),watu wenye unene au uzito kupita kiasi na pia watu wenye ini lenye mafuta.




Kwa kutumia dawa hizi hapo juu tatizo la shinikizo la juu la damu litatatuliwa,unaweza kuanza kutumia sasa. Kupata bidhaa hizi,tafadhali wasiliana nasi kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie 0673 923 959.