DAWA YA KUKOSA CHOO

Kama una tatizo la kufunga choo,hapa kuna suluhisho kwa ajili yako: Tsh 60,000 1. Aloe Vera Plus Capsule Manufaa Yake: -Hubor... thumbnail 1 summary


Kama una tatizo la kufunga choo,hapa kuna suluhisho kwa ajili yako:


Tsh 60,000

1. Aloe Vera Plus Capsule



Manufaa Yake:

-Huboresha mtiririko wa chakula tumboni
-Huongeza kasi ya utoaji sumu mwilini
-Huondoa maumivu na kupunguza joto la mwili
-Huondoa dalili za uvimbe
Huwafaa sana:
-Watu wenye matatizo ya tumbo ikiwemo kuhara sugu
-Watu walio na matatizo ya kukosa choo
-Watu wenye uvimbe sugu
-Watu wenye matatizo ya ngozi




2. Meal Cellulose Tablets

Tsh 60,000


Manufaa Na Faida Zake:

-Hurekebisha mtirirko wa chakula na kuimarisha uendaji afya ya tumbo
-Hupunguza kiwango cha lehemu kwenye damu
-Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
-Husaidia kupungua uzito
Huwafaa:
-Watu waliofunga choo,kuhara sugu,maumivu ya tumbo
-Watu walio na kiwango kkubwa cha mafuta kwenye damu
-Watu walio na kiwango cha juu cha sukari au sukari aina ya 2
-Watu wenye uzito kupita kiasi,au wanaokusudia kupunguza uzito wao


2. Intestine Cleansing Tea



Manufaa Yake:

Tsh 40,000
-Hulainisha kuta za utumbo,huboresha usukumwaji wa chakula ndani ya utumbo.
-Huondoa mikunjo kwenye utumbo
-Husaidia kuzaliana kwa bakteria rafiki kwenye utumbo
-Husaidia ufyonzwaji maji katika utumbo mwembamba
-Hulainisha kinyesi kikavu na kigumu
-Hulainisha ngozi nyembamba inayotoa ute ndani ya utumbo
Huwafaa sana:
-Watu walio na matatizo ya kukosa choo
-Watu wenye matatizo ya ngozi kama vile chunusi,vipele vyeusi kwenye ngozi,ngozi kuwa kavu au iliyolegea.




Ni dawa zitakazokuondolea tatizo lako,unaweza kuagiza dawa hizi kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie +255 673 923 959