Ugonjwa Wa Kisukari
Ugonjwa wa kisukari hutokana na kuzidi kwa sukari katika damu. Baada ya chakula mwili huvunjavunja chakula ili kutengeneza nishati muhimu kwa ajili ya utendaji kazi wake. Mwili wako hutengeneza homoni ya insulin ambayo hudhibiti kiwango cha sukari mwilini. Mtu hupata ugonjwa wa kisukari kama kongosho haitengenezi insulin ya kutosha au kama mwili unapinga kupokea insulin inayotengenezwa na kongosho.
Aina Ya Ugonjwa Wa Kisukari
Kuna aina mbili za ugonjwa wa kisukari:
.Kisukari aina ya 1
Ugonjwa wa sukari aina ya 1 hutokana na kongosho kushindwa kuzalisha insulin kabisa. Ain ahii ya kisukari mara nyingi huweza kurithiwa na huwapata watu katika umri wowote. Ili mtu mwenye aina hii y akisuakri aweza kuishi,anahitaji kupata insulin ya ziada na mara nyingi huchomwa sindano za insulin.
.Kisukari aina ya 2
Ugonjwa wa kisukari aina ya 2 husababishwa na sababu mbili. Moja kongosho kushindwa kuzalisha insulin ya kutosha,pili mwili kushindwa kuitumia insulin iliyozalishwa kwa kuzuia kufyonzwa kwake ndani ya mishipa ya damu. Mara nyingi aina hii ya ugonjwa wa sukari hutokana na mtindo na mfumo wa maisha kwa mfano watu wenye unene au uzito uliopitiliza huwa katika hatari kubwa ya kupata aina hii ya sukari.
Madhara Ya Kisukari
Mtu mwenye kisukari huwa katika hatari kubwa ya kupata matatizo makubwa ya kiafya. MIongoni mwa matatizo makubwa ambayo mgonjwa huyu huweza kuyapata ni kama Magonjwa ya moyo,kiharusi,kupoteza uwezo wa kuona vizuri,matatizo ya miguu,kukosa uwezo wa kufanya tendo la ndoa,ugumba na mengineyo mengi. Ingia hapa kuelewa Dalili Na Madhara Ya Ugonjwa Wa Kisukari kwa undani.
Dawa Ya Kisukari Ya Glucoblock
Dawa ya glucoblock ni kirutubisho cha asili kilichotengenezwa kwa kusudi la kudhibiti sukari iliyozidi. Dawa hii huboresha utolewaji wa insulin na kongosho,huboresha upokelewaji wa insulin na seli pokezi za insulin (insulin receptor cells) na wakati huo huo huongeza kiwango cha mwili kuvunja vunja na kutumia sukari. Unaweza kuona hii ni muhimu sana kwa tatizo lako la kisukari. Tazama maelezo yake ya kina hapa chini.
Bonyeza Juu Ya Picha Kusoma Zaidi Dawa Ya Kisukari Ya Glucoblock |
Dawa hii huweza kutumika na chai ya Balsam Pear Tea ambayo ni msaada kwa wagonjwa wa aina ya 1 na aina ya 2 ya kisukari. Soma kwa undani kuhusu chai ya balsam pear tea hapa chini.
Je,una kisukari na unataka tiba? Wasiliana nasi sasa uweke afya yako sawa. Tupigie 0673 923 959 au tuandikie maishaniafya@gmail.com