JE,MAUMIVU KABLA YA HEDHI YANAKUSUMBUA?

Inawezekana umekuwa ukipata maumivu makali kila waakti wa hedhi unapofika,bidhaa hizi toka Green world zitakusaidia kuondokana na tatizo h... thumbnail 1 summary


Inawezekana umekuwa ukipata maumivu makali kila waakti wa hedhi unapofika,bidhaa hizi toka Green world zitakusaidia kuondokana na tatizo hilo:


1. Soy Power Capsule



Manufaa na Faida Zake:

Tsh 65,000
-Huzuia ovari zisiharibike
-Hupunguza kupotea kwa uzito wa mifupa,huzuia Osteoporosis hususani wakati na baada ya kukoma hedhi
-Huzuia kansa ya matiti
-Huzuia atherosclerosis na magonjwa ya moyo
-Huimarisha utendaji kazi wa akili,huimarisha kumbukumbu na kuondoa ugonjwa wa kusahau
-Huchelewesha kuzeeka,hung'arisha ngozi na kuifanya laini na inayonyumbulika.
Huwafaa
-Wanawake wenye maumivu kabla hedhi
-Wanawake wenye matatizo ya kukoma hedhi
-Wanawake wenye mvurugiko wa homoni
-Wanawake wenye uzito mdogo wa mifupa au walio na osteopororsis
-Wanawake wagumba kutokana na kiwango kidogo cha estrogen
-Wanawake wenye usingizi dhaifu,hofu na walio na ugonjwa wa kukosa usingizi
-Wanawake wanaohitaji kuboresha ufanyaji wa mapenzi


2. Vitamin E

Tsh 60,000

Manufaa na Faida Zake:

-Ni antioxidant yenye nguvu
-Huzuia na kuondoa magonjwa ya moyo na yale ya ubongo
-Huzuia kansa
-Huwafaa wanawake wenye matatizo ya hedhi na magonjwaya kuvimba matiti
-Hulinda mfumo wa neva dhidi ya mashambulio ya radikali huru,na hivyo kuboresha kumbukumbu na kuondoa kuharibika kwa mfumo wa neva
-Hufaa kutumiwa na watu wote wenye upungufu wa vitamin E,watu wazima, watu wanaohitaji kuzuia au kuondoa magonjwa ya moyo na magonjwa ya ubongo,wanawake wenye maumivu kabla ya hedhi,kuvimba maziwa,mada meusi kwenye ngozi,wenye matatizo ya hedhi na mengineyo.


Ndugu msomaji,huna sababu ya kuendelea kupata maumivu wakati unaelekea kupata hedhi yako. Wasiliana nasi kupata dawa kwa ajili yako sasa. Tuandikie maishaniafya@gmail.com au tupigie 0673 923 959.