CARDIO POWER CAPSULE

Kazi Na Faida Za Cardio Power .Hupunguza mafuta kwenye damu,damu kunata,hupunguza platelet kujikusanya,hupunguza uwezekano wa kupa... thumbnail 1 summary




Kazi Na Faida Za Cardio Power




.Hupunguza mafuta kwenye damu,damu kunata,hupunguza platelet kujikusanya,hupunguza
uwezekano wa kupata atherosclerosis
.Hupanua mishipa ya arteri inayogawa damu kwenye moyo na ubongo,huongeza uwingi wa damu kwenye moyo, huboresha mzunguko wa damu kwenye ubongo na moyo
.Hupanua mishipa ya coronary arteri,huweza kutumika kuondoa tatizo la angina pectoris.



Hufaa Kwa:


Watu wenye shinikizo kubwa la damu (high blood pressure),mafuta mengi kwenye damu (high blood lipid),damu yenye mnato mkubwa (high blood viscosity).
.Watu wenye Atherosclerosis
.Watu wenye Angina Pectoris au magonjwa mengine ya arteri ya moyo
.Watu walio kwenye uangalizi baad aya misuli yao ya moyo kuharibika kwa kukosa damu



Viungo:  Radix Salviae Miltriorrhizae Extractum,Radix Notoginseng Extractum, Rhizoma Chuanxiong Extractum,Radix Ginseng Extractum,Flos Carthami Extractum,Borneolum,Polyethylene glycol.


Maelezo Muhimu




Hufaa Kwa Mishipa Ya Damu



Radix Salviae Miltiorrhizae pia hujulikana  kama Red Sage Root ambayo huweza kupanua mishipa ya arteri ya moyo,huongeza msukumo wa damu inayoingia kwenye moyo,huboresha msukumo wa damu inayotoka kwenye moyo,hupunguza matumizi ya damu inayoingia kwenye misuli ya moyo,hupunguza platelet kujikusanya,huzuia damu kuganda na kutengeneza vibonge vinavyoziba damu kupita,mnato wa damu na lehemu (cholestrol) kwenye damu.

Huzuia misuli ya damu kuharibika,na hutibu kupungua kipenyo kwa mishipa ya moyo (coronary atherosclerosis),Angina pectoris,upungufu wa damu kwenye misipa ya moyo,mafuta kuzidi kwenye damu,kizunguzungu na kukosa kumbukumbu kunakosababishwa na matatizo ya mzunguko wa damu kwenye ubongo.




Hufaa Kwa Moyo



Radix Notoginseng Extractum huweza kuongeza mzunguko wa damu kwenye moyo kwa kupanua mishipa ya mishipa ya coronary arteri,huboresha msukumo wa oxygen kwenye mishipa ya moyo. Huongeza msukumo wa oxygen huku ikipunguza matumizi ya oxygen kwenye mishipa ya moyo kwa kupunguza ukinzani wa mishipa inayozunguka moyo,hupunguza mapigo ya moyo na pia hupunguza unyumbukaji wa misuli ya moyo.
Radix Notoginseng Extractum huongeza muda wa ufanyaji kazi wa misuli ya moyo wakati wa upungufu wa oxygen ya kutosha.



Antioxidant Yenye Nguvu


Kanuni iliyoboreshwa ya Red Sage Root,Notoginseng,Rhizoma Chuanxiong,Ginseng,Flos Carthami,Borneolum huzuia kwa ufasaha lipid peroxide,huondoa radikali huru,huongeza ufanyaji kazi wa SOD (superoxide dismutase) na kulinda viungo vyote muhimu dhidi ya uharibifu wa oxygen (oxygen damage)








Nunua Cardio Sasa: