Kama kisukari ni tatizo linalokusumbua,hizi ni dawa zitakazokusaidia kudhibiti tatizo lako:
1. Glucoblock Capsule
Tsh 60,000 |
Manufaa na Faida Zake:
-Huboresha utengenezwaji wa Insulini ndani ya kongosho
-Huratibu uvunjwaji wa glucose ndani ya mwili
-Hupunguza kiwango cha sukari mwilini kwa kuongeza uwezo wa seli pokezi (Insulin receptor cells) za insulini kupokea insulini
-Huwafaa sana watu wenye sukari nyingi kwenye damu,watu wenye kisukari aina ya 2 na pia watu wenye kiwango kikubwa cha mafuta kwenye damu (high blood lipids)
Tsh 40,000 |
2. Balsam Pear Tea
Manufaa Na Faida Zake
-Huboresha seli za Beta ndani ya kongosho zinazotengeneza insulini
-Huzuia glucose isifyonzwe ndani ya utumbo mwembamba na hivyo kupunguza sukari kwenye damu
-Huondoa madhara ya kisukari kama vile kiu na mdomo kukauka
-Hupunguza sukari kwa usalama kabisa
-Hufaa kwa watu wenye sukari nyingi kwenye damu na wagonjwa wa kisukari.
3. Chitosan
Tsh 65,000 |
Manufaa Na Faida Zake
-Hupunguza kiwango cha mafuta mwilini;husaidia kupunguza uzzito
-Hupunguza kiwango cha sukari nyingi kwenye damu
-Huimarisha utendaji kazi wa ini,huzuia ini lisiharibiwe na sumu
-Huharakisha uponywaji wa vidonda vya tumbo
-Hufaa kwa watu wenye mafuta na sukari nyingi kwenye damu,watu wenye matatizo ya ini na ini lenye mafuta,wanaotaka kupunguza uzito wao na wanaosumbuliwa na vidonda vya tumbo.
4. Deep Sea Fish Oil Softgel
Tsh 80,000 |
-Hupunguza kiwango cha mafuta (lipid)kama vile cholestrol na Triglycerides yanayozunguka kwenye damu
-Hupunguza uvimbe wowote mwilini
-Hupunguza mrundikano wa chembe za damu (platelet aggregation);huzuia kuganda kwingi kwa damu
-Hutanua na kutuliza mishipa ya ateri;huzuia ateri kuvimba
-Huwafaa watu wenye matatizo ya ubongo na moyo,wenye kisukari aina ya 2,wenye matatizp ya mifupa na joints kama vile Osteoporosis na Arthritis na wenye upungufu wa Omega-3 essential fatty acids.
Kuagiza Dawa hizi tafadhali tuandikie kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie 0673 923 959.