DAWA YA KUONDOA SUMU MWILINI

1. Magic Detoxin Pad Tsh 60,000 Manufaa yake: -Huondoa sumu na mabaki mwilini kupitia vijitundu vya kwenye ngozi -Huondoa maumiv... thumbnail 1 summary


1. Magic Detoxin Pad


Tsh 60,000
Manufaa yake:

-Huondoa sumu na mabaki mwilini kupitia vijitundu vya kwenye ngozi
-Huondoa maumivu ya misuli,ngozi na maungio ya mifupa (joints)

Huwafaa sana:

- Watu wenye afya duni
-Watu wanaosimama muda mrefu
-Watu wanaotembea muda au umbali mrefu
-Watu wanaokaa kwenye mionzi ya komputa muda mrefu
-Watu wenye maumivu chini ya mgongo,misuli na kwenye maungio ya mifupa.



2. Aloe Vera Plus Capsule


Tsh 60,000
Manufaa Yake:

-Huboresha mtiririko wa chakula tumboni
-Huongeza kasi ya utoaji sumu mwilini
-Huondoa maumivu na kupunguza joto la mwili
-Huondoa dalili za uvimbe

Huwafaa sana:

-Watu wenye matatizo ya tumbo ikiwemo kuhara sugu
-Watu walio na matatizo ya kukosa choo
-Watu wenye uvimbe sugu
-Watu wenye matatizo ya ngozi



3. Intestine Cleansing Tea


Tsh 40,000
Manufaa Yake:

-Hulainisha kuta za utumbo,huboresha usukumwaji wa chakula ndani ya utumbo.
-Huondoa mikunjo kwenye utumbo
-Husaidia kuzaliana kwa bakteria rafiki kwenye utumbo
-Husaidia ufyonzwaji maji katika utumbo mwembamba
-Hulainisha kinyesi kikavu na kigumu
-Hulainisha ngozi nyembamba inayotoa ute ndani ya utumbo

Huwafaa sana:

-Watu walio na matatizo ya kukosa choo
-Watu wenye matatizo ya ngozi kama vile chunusi,vipele vyeusi kwenye ngozi,ngozi kuwa kavu au iliyolegea.

4. Chitosan


Tsh 60,000
Manufaa Yake:

-Hupunguza mafuta mengi kwenye damu
-Huzuia ini lisiharibiwe na sumu
-Huboresha utendaji kazi wa ini
-Huzuia na kusaidia uponywaji wa kansa ya tumbo

Hawafaa Sana:

-Watu wenye mafuta na sukari nyingi kwenye damu
-Watu wenye mafuta kwenye ini na matatizo mengineyo ya ini
-Watu wenye matatizo ya tumbo



Mtu yeyote anayependa kuimarisha afya yake ni bora akapata dawa hizi na kuzitumia,hii itauweka mwili wako katika hali nzuri ya kuishi bila sumu. Lakini pia itakupunguzia uwezekano wa kupata magonjwa mara kwa mara,kwa sababu magonjwa mengi hutokana na sumukurundikana kwenye baadhi ya viungo na kuzuia ufanisi kiutendaji.

Kwa`mahitaji yako ya dawa,tafadhali tuandikie maishaniafya@gmail.com au piga simu 0673 923 959.