Kazi Na Faida Za Ganoderma
-Kuboresha kinga za mwili na hivyo kuzuia kansa
-Kupunguza madhara yatokanayo na tiba za mionzi na chemotherapy (kama kutapika, maumivu, upungufu wa chembechembe nyeupe za damu, kutoota nywele, uchovu, n.k.); kuongeza kasi ya uponyaji baada ya tiba za mionzi na chemotherapy
-Kuongeza kinga za mwili; kupunguza makali ya brochitis sugu, pumu na mzio.
Hufaa Kwa:
-Watu wanohitaji kuongeza kinga za mwili
-Watu wenye uvimbe usio na madhara (benign tumor) na uvimbe wenye madhara (malignant tumor).
-Watu waliomaiza tiba za chemotherapy na radiotherapy
-Watu wagonjwa au walio kwenye uangalizi wa kitabibu
-Watu wenye brochitis sugu, pumu, mzio au matatizo mengine ya mfumo wa upumuaji
Spora ganoderma, Cordyceps Sinensis Mycelium, Radix Ginseng
Maelezo Muhimu:
Husaidia Kinga Za Mwili:
Katika kitabu cha Compendium Of Materia Medica, ganoderma imeitwa nyasi za kimiujiza, "Supernatural grass". Ganoderma ina ganoderma amylose, triterpenoids za ganoderma lucidum, alkaloid na amino acids 17, germanium asilia, selenium asilia na elementi nyingine adimu. Ganoderma inapendekezwa kuwa ni kitu cha kusaidia kinga za mwili kwa muda mrefu.