Kazi Na Faida Za Vig Power
.Huongeza uwezo wa kufanya tendo la ndoa kupitia kwa kuboresha utendaji wa figo
.Huongeza idadi ya mbegu za kiume (Sperm count) na uwezo wa mbegu kutembea (sperm motility)
.Huongeza hamu ya tendo la ndoa (Sexual libido)
.Huongeza oxygen kwenye damu na kusaidia uume kusimama imara kwa ajili ya ufanyaji wa tendo la ndoa
.Husaidia kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni
.Husaidia kuondoa tatizo la jogoo kushindwa kuwika
.Husaidia kuzuia tatizo la mbegu kutoka bila ridhaa yako
Hufaa Kwa:
.Wanaume wanaotaka kuboresha uwezo wao wa kufanya tendo la ndoa
.Wanaume wenye tatizo la kuwahi kufika kileleni
.Wanaume wenye tatizo la jogoo kushindwa kuwika
.Wanaume wenye tatizo la mbegu kutoka zenyewe tu
Viungo: Semen Cuscutae,Fructus Lycii,Rhizoma Dioscoreae,Radix Rehmanniae Preparata,Cortex Mputan
Semen Cuscutae
Kazi kubwa ya Semen Cuscutae ni kuboresha figo na kusidia kuboresha tendo la ndoa na kuzalisha
Fructus Lydii
Huupa mwili nishati ya kutosha ili mtu awe na nguvu zakutosha kufanya tendo la ndoa. Pia Fructus Lydii huongeza muda wa kufika kileleni na kuleta raha kwa wenzi na kuridhika.
Rhizoma Dioscreae
Viungo vilivyo ndani ya Rhizoma Diosreae ni pamoja na amino acid 18 na madini adimu zaidi ya 10 ambazo huongeza uhai na kujisikia vizuri kwa mwanume.
Radix Rehmanniae Preparata
Hii huzuia uchovu na kuboresha ufanyaji kazi wa figo. Huondoa pia tatizo la shahawa kutoka zenyewe,kuwahi kufika kileleni ambayo ni matatizo yaliyozoeleka sana kwa wanaume walio wengi.
Cortex Moutan
Cortex Moutan huboresha mzunguko wa damu kwenye vishipa vidogo vidogo,na huondoa vizuizi vyovyote kwenye mishipa ya uume.
Nunua Vig Power: