Vidonda vya tumbo limekuwa ni tatizo jingine sugu miongoni mwa wanajamii wengi kwa sababu ya mtindo wa maisha wa watanzania wengi. Hii ni kwa sababu maambukizi ya vidonda vya tumbo yanahusiana kwa karibu sana na matumizi ya maji yasiyo safi na salama. Miongoni mwa dalili za kuwepo kwa vidonda vya tumbo ni maumivu makali ya tumbo,kujisikia vibaya wakati wa kumeza chakula,kuhisi kama chakula kinataka kurudi,kukosa hamu ya kula na kupungua uzito. Wakati mwingine tatzo linapokuwa kubwa dalili hizi huonekena:kutapika damu,kupata choo nyeusi au chenye damu nyeusi nyeusi,kichefuchefu na kutapika mara kwa mara,kushindwa kupumua vizuri na kuongezeka joto la mwili kuliko kawaida.
Chanzo Cha Vidonda Vya Tumbo
Chanzo cha vidonda vya tumbo kinahusishwa na sababu mbili kubwa:
1. Maambukizi ya H.pylori.
2. Matumizi ya madawa ya kupunguza maumivu
Matumizi ya madawa ya kupunguza maumivu ya kichwa,misuli au maumivu yatokanayo na hedhi kwa akina dada kama vile diclofenac,asprin,naproxen,ibprofen na vinginevyo husababisha kutokea kwa vidonda vya tumbo. Dawa hizi hudhoofisha kuta za tumbo (mucus) na kufanya iwe rahisi kutobolewa na tindikali.
Jinsi Ya Kudhibiti Vidonda Vya Tumbo
Kwa kuwa imebainika kuwa kuna baadhi ya sababu kadhaa zinazoweza kuchangia kutokea kwa vidonda vya tumbo,kuepuka sababu hizi kutapunguza madhara ya vidonda vya tumbo. Sababu kama kunywa pombe,kuvuta sigara,mtindo wa maisha kama vile ulaji mbaya na baadhi ya magonjwa kama vile magonjwa ya ini huweza kuongeza hatari ya kupata ugonjwa wa vidonda vya tumbo. Mambo yafuatayo yatasaidia kuondoa madhara yatokanayo na vidonda vya tumbo:
-Kula chakula safi,chenye afya na kilichoandaliwa vizuri
-Kunywa maji safi na yaliyochemshwa
-Kuepuka matumizi ya vidonge vya kupunguza maumivu
-Epuka kunywa pombe
-Epuka msongo wa mawazo
-Epuka kuvuta sigara
-Epuka kutumia caffeine (hupatikana kwa wingi wenye kahawa na majani ya chai)
-Epuka kutumia chakula chenye viungo vingi
Tiba Ya Vidonda Vya Tumbo
Kwa miaka mingi sasa kumekuw ana changamoto katika tiba ya vidonda vya tumbo. Changamoto hii hutokana mambo kama haya: mgonjwa akianza tiba hatakiwi kuacha,akiacha kutumia vidonge vile tu tatizo hurudia,mgonjwa hupatwa na madhara mengi anapokuwa anaendelea na tiba kama vile kuharisha na kichefuchefu na wengine huamua kuishia njiani,mtumiaji wakati mwingine hupata ugumba na sababu nyinginezo nyingi.
Tiba ya vidonda vya tumbo ingeleta ufanisi kama ingefanya yafuatayo:
-Kuua bacteria wanaosababisha vidonda vya tumbo-H.pylori
-Ingeondoa madhara yatokanayo na kubomolewa kwa kuta laini za tumbo
-Ingerejesha utando laini wa tumbo ulioharibiwa na tindikali
-Ingeondoa uwingi wa tindikali (acids) uliosababishwa na madhara ya H.pylori bila madhara ya ziada (side effects)
Kwa maelezo haya ndugu msomaji wangu utakubaliana nami kuwa hujafanikiwa kutibu vidonda hadi leo kwa kutumia dawa ulizowahi kutumia kwa sababu ya changamoto zilizoainishwa hapo juu.
Dawa Ya Kuondoa Vidonda Vya Tumbo
Tunazo dawa za kutibu vidonda vya tumbo. Hizi zinafanya vizuri kwa sababu zinaondoa chanzo cha tatizo. Zinaondoa H.pylori,zinajenga kuta za tumbo zilizotobolewa na asidi,zinayeyusha asidi inayotoboatoboa utumbo. Kwa kuzitumia dawa hizi ukakuwa umamaliza tatizo linalokusumbua.
Naamini hujawahi kutumia bidhaa zetu kudhibiti tatizo lako la vidonda vya tumbo vinginevyo usingeweza kuingia kwenye ukurasa huu maana usingekuwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo bado. Kama ni kusudi lako kutatua tatizo la vidonda vya tumbo linalokusumbua,wasiliana nasi kupitia 0673 923 959 upate bidhaa bora ili uimarishe afya yako.
Tahadhari Baada Ya Kutumia Dawa
Epuka kufanya mambo yaleyale au kutumia visababishi vilevile viliyosababisha upate vidonda vya tumbo,kwa sababu utakuwa umejiweka kwenye hatari ya kurudia tena. Lakini ukiepuka visababishi hivyo baada ya kutumia dawa hizi utausikia tu.
Kama una tatizo la vidonda vya tumbo na umesumbuka kutafuta tiba,usisite kuwasiliana nasi kupitia simu 0673 923 959 tutakuhudumia muda wowote na utakuwa vizuri kabisa.
Kwa maswali,maoni au ushauri,wasiliana nasi tutafurahi kusikia toka kwako.