Kazi Na Faida Za Chitosan
.Hupunguza mafuta kwenye damu na husaidia kupunguza uzito
.Hupunguza sukari kwenye damu
.Huimarisha kazi za ini;hulinda ini na lisiharibiwe na sumu
.Huharakisha uponywaji wa vidonda vya tumbo
Hufaa Kwa:
.Watu wanaopenda kupunguza uzito wao
. Watu wenye mafuta mengi kwenye damu na sukari nyigi kwenye damu
.Watu wenye ini lenye mafuta,hepatitis au ugonjwa mwingine wowote wa ini
.Watu wenye vidonda vya tumbo
Viungo:Chitosan
Maelezo Muhimu
Kuhusu Chitosan
Chitosan ni polysaccharide inayopatikana kwenye gamba la viumbe kama kaa. Chitosan huitwa element ya sitini ya maisha. Manufaa ya chitosan ni makubwa. Kupunguza uzito ni moja ya manufaa makubwa ya sukari hii. Ina manufaa pia watu wenye presha,lehemu nyingi,kuimarisha kinga,vidonda vya tumbo na matatizo ya mifupa kama vile osteoporosis.
Hupunguza Mafuta Mengi Na Uzito
Chitosan ina chaji ambazo hujishikiza kwenye chaji hasi za asidi ya nyongo na asid za mafuta na kupelekea kupungua kwa cholestrol mwilini. Chitosan inaweza kuondoa hadi mara sita ya uzito wake kwenye mafuta.
Chitosan haifanyi kazi kwa kukufanya ujisikie njaa. Hufanya kazi kwa kufanya mafuta yatoke mwilini na siyo kuyatunza kwenye seli za fat. Chitosan capsule husaidia watu kupunguza uzito wao kwa haraka na hufyonza virutubisho kwa ufasaha na hii hufanya itofautiane na bidhaa nyingi za kupunguza uzito ambazo hukufanya ukose hamu ya kula ama kukusababishia kuharisha .
Hupunguza Sukari Nyingi Kwenye Damu
Chitosan huimarisha uwiano wa tindikali na base ya mwili,huongeza ufanisi wa insulin,huimarisha na kuweka msawazo wa mfumo wa homoni,husaidia uamshwaji wa insulin na kupunguza sukari kwenye damu.
Huondoa Sumu Na Kuimarisha Utendaji Kazi Wa Ini
Chitosan huweza kulinda ini na aina fulani fulani za sumu, kama vile,mercury na dioxins. Imethibitishwa kuwa,chitosan inaweza kulinda ini lenye mafuta,kuongeza utendaji kazi wa enzyme mbali mbali na huongeza utendaji kazi wa ini.
Kuondoa Vidonda Vya Tumbo
Chitosan huongeza ute ute (mucus) kwenye kuta za tumbo. Huharakisha kupona kwa vidonda vya tumbo kwa haraka.
Nunua Chitosan Sasa: