PROSTASURE CAPSULE

Kazi Na Faida Zake .Huboresha mzunguko wa damu kwenye tezi dume .Huzuia kuzaliana na kukua kwa wadudu wabaya ndani ya tezi dume .Hu... thumbnail 1 summary



Kazi Na Faida Zake

.Huboresha mzunguko wa damu kwenye tezi dume
.Huzuia kuzaliana na kukua kwa wadudu wabaya ndani ya tezi dume
.Huondoa dalili za matatizo yote ya tezi dume.

Hufaa kwa:

.Wanaume wote wenye matatizo ya tezi dume
.Wanaume wote wenye umri zaidi ya miaka 40


Viungo Vyake: Extractum of Radix Rehmanniae,Rhizoma Anaemarrhenae,Cortex Phellodendri Chinsis, Herba Ecliptae,Fructus Lingustri Lucidi, Herba Plantaginis,Radix Paeoniae Rubra.

Maelezo Muhimu

Tezi dume ni tezi ndogo yenye ukubwa kama karanga ambayo pamoja na seminal vescles hutoa maji yanayochanganyika na mbegu za kiume. IKo chini kidogo mwa kibofu cha mkojo na imeuzunguka mrija wa urethra ambao hutoa mkojo nje ya mwili.

Matatizo ya tezi dume huhusiana kwa karibu na umri: mwanaume mwenye umri mkubwa huwa katika hatari kubwa ya kukumbwa na matatizo ya tezi dume. Baada ya miaka 50 ni kawaida kwa walio wengi kuwa na dalili hizi. Kwa mfano zaidi ya asilimia 80 ya matatizo yote ya kansa  tezi dume yaliyogundulika ni kwa wanaume wenye zaidi ya miaka 65 na kwa wenye miaka  70. Na asilimia 90 ya wanaume wote hupata dalili za kuvimba kwa tezi dume.


Aina Za Matatizo Ya Tezi Dume



Matatizo ya tezi dume huonekana kuangukia katika aina tatu hivi: Maambukizi kwenye Tezi Dume-Prostatitis au Inflammation of the gland; Uvimbe wa Tezi Dume-Benign Prostatic Hyperplasia (BPH) na Kansa ya Tezi Dume (Prostate cancer)




Dalili Za Matatizo Ya Tezi Dume




Dalili za matatizo yote matatu hufanana,na dalili mojawapo huweza kuonyesha kuwepo kwa tatizo lolote la tezi dume:

.Maumivu wakati wa kukojoa
.Maumivu kama moto wakati wa kukojoa
.Maumivu ya nyonga
.Kukojoa mara kwa mara
.Maumivu ya tumbo
.Kushindwa kuzuia mkojo
.Ugumba
.Kuhisi kibofu kimejaa muda wote
.Kushindwa kukojoa ghafula
.Upungufu wa damu (Anemia)
.Kuamka kukojoa mara kwa mara usiku



Dawa Ya Prostasure Ya Green World Inasaidiaje?




Bidhaa hii inazuia na kuondoa dalili za matatizo ya tezi dume kama vile maumivu wakati wa kukojoa,kukojoa mara kwa mara,kushindwa kukojoa kwa haraka. Huboresha mzunguko wa damu kwenye tezi dume,huzuia kuzalian ana kukua kw awadudu wabaya ndani ya tezi dume.

Nunua Prostasure sasa: