Tsh 105,000 |
1. A-power Capsule
Faida na Manufaa Yake:
-Huinua kinga kwa kuboresha mifumo ya kinga ya seli na nje ya seli
-Huzuia na kusaidia tiba ya kansa pale inapotumika na dawa zingine za kuzuia kansa
Huwafaa:
-Watu wenye matatizo ya kinga kama vile autoimmune diseases
-Watu wenye upungufu wa kinga,matatizo kama VVU/UKUMWI
-Watu wenye matatizo mbalimbali ya kansa
2. Ganoderma Plus Capsule
Faida Na Manufaaa Yake:
Tsh 65,000 |
-Huimarisha utendaji kazi wa kinga na hivyo huzuia kansa
-Hupunguza madhara zaidi yasababishwayo na chemo na mionzi kama vile kutapika,maumivu,kupungua kwa seli nyeupe za damu,kunyonyoka nywele,uchovu na mengineyo.
-Huharakisha uponaji baada ya kutumia tiba za mionzi na chemo
-Huinua kinga,huondoa madhara sugu ya mapafu,asthma na mzio (allergy)
Huwafaa:
-Watu wanaohitaji kuinua kinga zao
-Watu wenye uvimbe na uvimbe usababishao kansa
-Watu waliomaliza tiba za chemo na mionzi
-Watu wanaoumwa au walio kwenye uangalizi wa kitabibu
-Watu wenye matatizo sugu ya bronchitis,asthma,mzio na matatizo mengine ya upumuaji.
3.Soy Power Capsule
Manufaa na Faida Zake:
Tsh 65,000 |
-Hupunguza kupotea kwa uzito wa mifupa,huzuia Osteoporosis hususani wakati na baada ya kukoma hedhi
-Huzuia kansa ya matiti
-Huzuia atherosclerosis na magonjwa ya moyo
-Huimarisha utendaji kazi wa akili,huimarisha kumbukumbu na kuondoa ugonjwa wa kusahau
-Huchelewesha kuzeeka,hung'arisha ngozi na kuifanya laini na inayonyumbulika.
Huwafaa
-Wanawake wenye maumivu kabla hedhi
-Wanawake wenye matatizo ya kukoma hedhi
-Wanawake wenye mvurugiko wa homoni
-Wanawake wenye uzito mdogo wa mifupa au walio na osteopororsis
-Wanawake wagumba kutokana na kiwango kidogo cha estrogen
-Wanawake wenye usingizi dhaifu,hofu na walio na ugonjwa wa kukosa usingizi
-Wanawake wanaohitaji kuboresha ufanyaji wa mapenzi
4. Spirulina Plus Capsule
Tsh 60,000 |
Inafaa kutumiwa na:
-Watu wanaopenda kupata lishe kamili
-Watu wenye matatizo ya kisukari,Vidonda vya tumbo,wanene au wenye uzito kupita kiasi,hepatitis,matatizo ya macho,anemia,magonjwa ya moyo,shinikizo la damu,mafuta mengi
mwilini,bawasiri,kufunga choo,maumivu kabla ya hedhi,madharayatokanayo na kansa na mengineyo.
-Watu walio kwenye uangalizi wa lishe
-Watu wenye unyafuzi
-Watu waliodhoofika kutokana na magonjwa kama kansa, UKIMWI,kifua kikuu,kisukari,vidonda vya tumbo na mengineyo.
-Watu wanaotumia mboga mboga na kuwa na upungufu wa protein
5. Intestine Cleansing Tea
Manufaa Yake:
Tsh 40,000 |
-Huondoa mikunjo kwenye utumbo
-Husaidia kuzaliana kwa bakteria rafiki kwenye utumbo
-Husaidia ufyonzwaji maji katika utumbo mwembamba
-Hulainisha kinyesi kikavu na kigumu
-Hulainisha ngozi nyembamba inayotoa ute ndani ya utumbo
Huwafaa sana:
-Watu walio na matatizo ya kukosa choo
-Watu wenye matatizo ya ngozi kama vile chunusi,vipele vyeusi kwenye ngozi,ngozi kuwa kavu au iliyolegea.
Ninajua wapo watu wengi sana wanaosumbuka kutokana na tatizo la bawasiri. Na inawezekana umesumbuka kwa muda mrefu bila kupata suluhisho kwa tatizo hili. Kama hili ni tatizo lililodumu kukusumbua,unaweza kupata tiba na kuondokana na tatizo la bawasiri linalokusumbua. Tafadhali wasiliana nasi kupata tiba sasa. Tuandikie kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie kwenye +255 673 923 959.