ONDOA TATIZO LA CHOLESTEROL (LEHEMU)

 Miongoni mwa matatizo hatarishi sana katika karne ya 21 ni wingi wa lehemu. Hiki ni chanzo cha matatizo mengi sana na tena hatarishi. Mata... thumbnail 1 summary

 Miongoni mwa matatizo hatarishi sana katika karne ya 21 ni wingi wa lehemu. Hiki ni chanzo cha matatizo mengi sana na tena hatarishi. Matatizo yote ya moyo kama vile shinikizo la juu la damu, moyo kupanuka,kiharusi na mengineyo yote hutokana na kuongezeka kwa cholesterol kwenye damu. Pia matatizo ya ubongo yakiwemo kupoteza kumbukumbu nayo hutokana na lehemu kuzidi. Bidhaa zifuatazo zitakusaidia kuepuka madhara zaidi kutokana na lehemu nyingi:


1. Deep Sea Fish Oil Softgel



Tsh 80,000
Manufaa na Faida Zake

-Hupunguza kiwango cha mafuta (lipid)kama vile cholestrol na Triglycerides yanayozunguka kwenye damu
-Hupunguza uvimbe wowote mwilini
-Hupunguza mrundikano wa chembe za damu (platelet aggregation);huzuia kuganda kwingi kwa damu
-Hutanua na kutuliza mishipa ya ateri;huzuia ateri kuvimba
-Huwafaa watu wenye matatizo ya ubongo na moyo,wenye kisukari aina ya 2,wenye matatizp ya mifupa na joints kama vile Osteoporosis na Arthritis na watu wazima wenye upungufu wa Omega-3 essential fatty acids.


Soma zaidi kuhusu Deep sea




Tsh 75,000

2. Soybean Lecithin Capsule



Manufaa na Faida Zake

-Huunda kuta za nje za seli
-Huimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo
-Hupunguza kiwango cha mafuta kwenye damu kwa kubadili LDL kuwa HDL
-Hulinda Ini na kuboresha utendaji kazi wake
-Huwafaa watu wenye nia ya kuboresha kumbukumbu,wenye mafuta mengi kwenye damu na magonjwa ya ubongo na moyo na watu wenye matatizo ya ini kama vile ini lenye mafuta,hepatitis na ini lililoharibika.


3. Super CoQ-10



Manufaa na Faida Zake

Tsh 75,000
-Huboresha utengenezwaji wa nishati kwenye seli za mwili,hususani seli za misuli ya moyo (Myocardial cells) na seli za neva
-Huboresha kinga
-Huzuia na kuondoa magonjwa ya ubongo na moyo
-Huboresha stamina na uimara wa mwili kwa ujumla
-Hufaa kutumiwa na watu wenye magonjwa ya moyo kama heart attack,Heart failure,shinikizo la juu la damu,Lehemu nyingi,Angina n.k
-Watu wanaosumbuliwa na viungo muhimu vilivyodhurika kutokana na chemo na mionzi
-Watu wenye kisukari,uchovu endelevu na wanaojiandaa kufanyiwa upasuaji wa moyo



Tsh 40,000

4. Lipid Care Tea



Manufaa na Faida Zake

-Hurekebisha kiwango cha mafuta kwenye damu
-Huongeza utengenezwaji wa nishati kutokana na mafuta kwa kasi na kusaidia kupunguza uzito
-Hutoa uchafu na kuupendezesha mwili
-Hufaa kutumiwa na watu wenye familia zenye historia mafuta mengi (hyperlipidemia),watu wenye unene au uzito kupita kiasi na pia watu wenye ini lenye mafuta.



5.Garlic Oil Softgel


Tsh 60,000

Manufaa Na Faida Zake

-Huzuia na kuua aina nyingi za vijidudu vya magonjwa kutokana na tabia yake ya kuua vijidudu
-Hufanya damu kuwa nyembamba na kupunguza kiwango cha cholesterol
-Huzuia atherosclerosis na magonjwa mengine ya damu yasababishwayo na chanzo kile kile
-Hulinda mifumo ya moyo na ubongo kutokana na tabia yake ya kushusha presha
-Hufaa kutumiwa na watu wenye matatizo ya high blood pressure,sukari nyingi kwenye damu,lehemu nyingi kwenye damu na wenye magonjwa ya muda mrefu ya mambukizi kama vile candindiasis




Kama unasumbuliwa na lehemu (cholesterol) kwa wingi,ni wakati mwafaka kupata dawa hizi ili zikusaidie kuondokana na hatari ya kupata magonjwa mengi ya moyo na ubongo. Lakini inawezekana tayari una matatizo hayo,dawa hizi pia zitakusaidia kuondokana na madhara zaidi na kurejea katika hali ya kawaida. Tuandikie kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie 0673 923 959.