Tsh 99,000 |
1. Ginseng RHs Capsule
Manufaa Yake:
-Ni kirutubishi cha asili kinachotumika kwa pamoja na madawa ya kuzuia kansa
-Huongeza seli nyeupe za damu,ni yenye manufaa sana kwa wagonjwa waliopokea tiba za chemo na mionzi
-Huharakisha uponaji wa vidonda haraka na humsaidia mgonjwa kupona haraka
Huwafaa:
-Watu wanaokusudia kuongeza kinga
-Watu wenye uvimbe wa kawaida au uvimbe unaosababisha kansa
-Watu waliomaliza tiba za chemo na mionzi
-Watu walio kwenye uangalizi wa kitibibu
-Watu walio na upungufu wa seli nyeupe za damu kutokana na VVU/UKIMWI
-Watu wenye uchovu wa kudumu au wanaohitaji kuboresha stamina
Tsh 105,000 |
2. A-power Capsule
Faida na Manufaa Yake:
-Huinua kinga kwa kuboresha mifumo ya kinga ya seli na nje ya seli
-Huzuia na kusaidia tiba ya kansa pale inapotumika na dawa zingine za kuzuia kansa
Huwafaa:
-Watu wenye matatizo ya kinga kama vile autoimmune diseases
-Watu wenye upungufu wa kinga,matatizo kama VVU/UKUMWI
-Watu wenye matatizo mbalimbali ya kansa
3. Joint Health Capsule
Tsh 75,000 |
Manufaa na Faida Zake:
-Huondoa maumivu na kuvimba kwa maungio kunakosababishwa na arthritis
-Huzuia magonjwa ya kudhoofika joints kwa watu wenye umri wa kati na wazee
Huwafaa:
-Watu walioumia joint
-Watu wenye magonjwa ya kudhoofika joint kama vile rheumatoid na osteoarthritis
-Watu wenye gout
4. Compound Marrow Powder
Tsh 75,000 |
Faida Na Manufaa Yake:
-Huongeza calcium na magnesium ili kuondoa dalili za osteoporosis kama vile maumivu ya joint na lumbago (maumivu chini ya mgongo)
-Huimarisha utengenezwaji wa damu
-Huimarisha kinga: huondoa uchovu
-Huongeza ubora wa usingizi na kumbukumbu
-Huchelewesha kuzeeka
Huwafaa:
-Watu wenye upungufu wa calcium au wenye osteopororsis
-Watu wenye matatizo ya mifupa na maungio ya mifupa kama vile arthritis
-Watu wenye utapiamlo
-Watu wenye matatizo ya kinga
-Watu wenye anemia
Ugonjwa wa rheumatoid arthritis ni autoimmune disease (ugonjwa unaosababishwa na kinga za mwili kushambulia eneo fulani la mwili). Na sasa ili kupata tiba ni muhimu kupata dawa zinazorekebisha mfumo wa kinga za mwili. Na ndiyo sababu utatakiwa kutumia A-power na ginseng kwanza kwa ajili ya kinga za mwili ndipo uanze kutumia dawa za kurejesha ubora wa joint zilizoharibiwa kwa kutumia dawa zinazoboresha joint zikiwemo joint health capsule na compound marrow powder
Inawezekana unasumbuliwa na ugonjwa wa rheumatoid arthritis kwa muda fulani hivi na hujapata tiba ya kukusaidia. Unaweza kuwasiliana nasi ili upate ufumbuzi wa tatizo lako.Tuandikie kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie +255 673 923 959 sasa.