AFYA YA INI

1. Livergen Tsh 75,000 Manufaa yake: -Huchochea utolewaji sumu mwilini -Huboresha ujenzi wa seli za ini -Huboresha mzu... thumbnail 1 summary


1. Livergen



Tsh 75,000
Manufaa yake:

-Huchochea utolewaji sumu mwilini
-Huboresha ujenzi wa seli za ini
-Huboresha mzunguko wa damu kwenye mishipa midogo ya ini  na kuimarisha utendaji kazi wa ini
-Hupunguza kuharibika kwa ini kunakochangiwa na mafuta,maambukizi ya hepatitis na unywaji pombe
-Huzuia uharibifu wa ini unaotokana na kemikali,madawa,sumu na vyanzo vingine vya uchafu

Huwafaa:

-Watu wanaotaka kuondoa sumu katika miili yao
-Watu wenye matatizo yote ya ini
-Watu wenye magonjwa ya nyongo kama vile mawe kwenye mfuko wa nyongo,homa ya manjano,homa ya nyongo n.k
-Watu wanaokunywa au waliowahi kunywa pombe kwa wingi
-Watu wanaoishi maeneo hatarishi


2. Chitosan



Tsh 60,000
Manufaa na Faida Zake:

-Hupunguza mafuta kwenye damu
-Hupunguza uzito
-Huimarisha utendaji kazi wa ini
-Husaidia ini lisiharibiwe na mafuta

Hufaa zaidi kwa:

-Watu wenye mafuta mengi kwenye damu
-Watu wenye matatizo ya ini kama vile ini lenye mafuta,hepatitis na mengineyo
Watu wenye uzito kupita kiasi


3. Soybean Lecithin Capsule



Tsh 75,000
Manufaa Yake:

-Ni kiungo muhimu cha ngozi inayozunguka seli (cell membrane component)
-Huimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo
-Hupunguza kiwango cha mafuta kwenye damu kwa kubadilisha LDL kuwa HDL
-Hulinda ini na kuinua utendaji kazi wa ini

Huwafaa sana:

-Watu wenye mafuta mengi kwenye damu
-Watu wenye matatizo ya ini ya muda mfupi na mrefu kama vile ini lenye mafuta,hepatitis na ini kuharibika (cirrhosis)
Watu wenye matatizo ya moyo na ubongo
-Watu wanaopenda kuboresha kumbukumbu zao na kuamsha mfumo wa kati wa fahamu


4. Lipid Care Tea



Tsh 40,000
Manufaa yake:

-Hurekebisha kiwango cha mafuta kwenye damu
-Hubadilisha mafuta kuwa nishati na hivyo kusaidia kupunguza unene
-Huondoa sumu na kuuremba mwili

Huwafaa:

-Watu wenye historia ya kuwa na mafuta mengi kwenye koo zao
-Watu wenye mafuta kwenye ini
-Watu wanaohitaji kupunguza uzito au unene wao


Sababu kuu za ini kuharibika zinatajwa`kuwa mafuta,hepatitis na pombe. Bidhaa lishe hapo juu zina uwezo wa kusafisha ini na mafuta,hepatitis na sumu itokanayo na pombe na vitu vinginevyo. Chagua kuwa mlinzi wa afya yako mapema,uepukane na madhara zaidi.

Kwa mahitaji wa dawa tafadhali usisite kutuandikia maishaniafya@gmail.com au piga simu 0673 923 959 kupata msaada wa karibu.