TIBA YA MAWE KWENYE MFUKO WA NYONGO

1. Livergen Capsule Tsh 75,000 Manufaa Na Faida Zake: -Huchochea utolewaji sumu mwilini -Huboresha ujenzi wa seli za ini -... thumbnail 1 summary



1. Livergen Capsule

Tsh 75,000


Manufaa Na Faida Zake:

-Huchochea utolewaji sumu mwilini
-Huboresha ujenzi wa seli za ini
-Huboresha mzunguko wa damu kwenye mishipa midogo ya ini  na kuimarisha utendaji kazi wa ini
-Hupunguza kuharibika kwa ini kunakochangiwa na mafuta,maambukizi ya hepatitis na unywaji pombe
-Huzuia uharibifu wa ini unaotokana na kemikali,madawa,sumu na vyanzo vingine vya uchafu

Huwafaa:

-Watu wanaotaka kuondoa sumu katika miili yao
-Watu wenye matatizo yote ya ini
-Watu wenye magonjwa ya nyongo kama vile mawe kwenye mfuko wa nyongo,homa ya manjano,homa ya nyongo n.k
-Watu wanaokunywa au waliowahi kunywa pombe kwa wingi
-Watu wanaoishi maeneo hatarishi


2.Soybean Lecithin Capsule

Tsh 75,000


Manufaa na Faida Zake

-Huunda kuta za nje za seli
-Huimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo
-Hupunguza kiwango cha mafuta kwenye damu kwa kubadili LDL kuwa HDL
-Hulinda Ini na kuboresha utendaji kazi wake
-Huwafaa watu wenye nia ya kuboresha kumbukumbu,wenye mafuta mengi kwenye damu na magonjwa ya ubongo na moyo na watu wenye matatizo ya ini kama vile ini lenye mafuta,hepatitis na ini lililoharibika.

5. Lipid Care Tea


Tsh 40,000
Manufaa na Faida Zake

-Hurekebisha kiwango cha mafuta kwenye damu
-Huongeza utengenezwaji wa nishati kutokana na mafuta kwa kasi na kusaidia kupunguza uzito
-Hutoa uchafu na kuupendezesha mwili
-Hufaa kutumiwa na watu wenye familia zenye historia mafuta mengi (hyperlipidemia),watu wenye unene au uzito kupita kiasi na pia watu wenye ini lenye mafuta.



4. Spirulina Capsule



Tsh 60,000
Inafaa Kwa:


-Watu wanaopenda kupata lishe kamili
-Watu wenye matatizo ya kisukari,Vidonda vya tumbo,wanene au wenye uzito kupita kiasi,hepatitis,matatizo ya macho,anemia,magonjwa ya moyo,shinikizo la damu,mafuta mengi
mwilini,bawasiri,kufunga choo,maumivu kabla ya hedhi,madharayatokanayo na kansa na mengineyo.
-Watu walio kwenye uangalizi wa lishe
-Watu wenye unyafuzi
-Watu waliodhoofika kutokana na magonjwa kama kansa, UKIMWI,kifua kikuu,kisukari,vidonda vya tumbo na mengineyo.
-Watu wanaotumia mboga mboga na kuwa na upungufu wa protein



Hadi hapo ndugu msomaji,tumetazama tiba ya ufanisi unayoweza kuipata kama una tatizo la mawe kwenye mfuko wa nyongo. Unaweza kujua zaidi tatizo la mawe kwenye mfuko wa nyongo hapo. Kwa amhitaji ya dawa za tatizo hili,tafadhali wasiliana nasi kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie 0673 923 959 sasa.