Kazi na Faida za Lecithin
- Kiungo muhimu cha ngozi izungukayo seli;
- Kuimarisha mfumo wa neva na kuboresha ubongo;
- Kupunguza kiwango cha lipids katika damu kwa kubadilisha LDL kuwa HDL;
- Kulilinda ini na kusaidia ufanyaji kazi wa ini.
Yafaa kwa:
- Watu wanaohitaji kuboresha kumbukumbu na umakini wa ubongo
- Watu wenye uwingi wa lipids katika damu, matatizo ya moyo na ubongo
- Watu walio katika hali mbaya au wenye matatizo ya muda mrefu ya mafuta kwenye ini, homa ya ini (hepatitis) na liver cirrhosis.
Viungo: Lecithin asilia kutoka Soya
Maelezo Muhimu:
1. Lecithin ni mlinzi wa seli
2. Huulinda moyo na mishipa ya damu
Lecithin huyeyusha mafuta na kuyaacha yaelee ndani ya damu, huyazuia mafuta hayo kunata kwenye kuta za ndani za mishipa ya damu. Vipande vya mafuta vikishindwa kunata kwenye eneo lo lote la mwili, husafirishwa hadi kwenye ini ambako huvujwavunjwa na kutoa nguvu mwilini. Kuboreshwa kwa mzunguko wa damu hutokana na nyongeza ya lecithin inayozuia kuganda kwa damu (blood clots) na kuboresha afya aya ini. Kwa kufanya hivyo, lecithin inazuia magonjwa ya shinikizo la damu (high blood prssure), kupungua kipenyo cha mishipa ya damu (Atherosclerosis), kiharusi na magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (cardiovascular diseases)
Huboresha afya ya ubongo
Lecithin hutengeneza ACETYLCHOLINE, kiungo muhimu katika kusafirisha ujumbe kutoka neva moja hadi nyingine. Kwa hiyo lecithin inazuia na kusaidia uponyaji wa magonjwa ya kupoteza kumbukumbu, kudorora kwa afya ya ubongo (dementia), ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu na kufuatiwa na kushindwa kufikiri, kushindwa kuongea na mwisho kushindwa kufanya lo lote (alzheimer's).Lecithin ni chakula bora kwa kujenga akili na kurudisha kumbukumbu (Brain care food).
Hulinda Ini
Hulinda Utumbo
Ngozi inayotanda juu ya utumbo mdogo ni moja ya viungo vinavyokua kwa haraka sana katika mwili, hujijenga upya kila baada ya siku moja na nusu. Lecithin husaidia katika ujenzi wa kuta za utumbo. Kwa hiyo selenium husaidia kuondoa maumivu ya kwenye utumbo mpana (colitis). ugonjwa ushambuliao utumbo mdogo na kusababisha kuharisha na maumivu (Crohn's disease).
Ni rafiki wa Akina mama
Lecithin ni muhimu katika uzalishaji wa homoni mbalimbali zinazosimamia utoaji jasho. Lecithin ni bidhaa ya kusaidia ngozi isikauke. Lecithin inazuia na kusaidia tatizo la kupata maumivu kabla ya hedhi (Pre-menstrual syndrome -PMS-), matatizo yanayoambatana na kukoma hedhi na kusaidia kupata usingizi.
Nunua Soybean Lecithin hapa:
Nunua Soybean Lecithin hapa: