Tsh 75,000 |
1.Joint Health Capsule
Manufaa na Faida Zake:
-Huondoa maumivu na kuvimba kwa maungio kunakosababishwa na arthritis
-Huzuia magonjwa ya kudhoofika joints kwa watu wenye umri wa kati na wazee
Huwafaa:
-Watu walioumia joint
-Watu wenye magonjwa ya kudhoofika joint kama vile rheumatoid na osteoarthritis
-Watu wenye gout
2. Compound Marrow Powder
Tsh 75,000 |
Faida Na Manufaa Yake:
-Huongeza calcium na magnesium ili kuondoa dalili za osteoporosis kama vile maumivu ya joint na lumbago (maumivu chini ya mgongo)
-Huimarisha utengenezwaji wa damu
-Huimarisha kinga: huondoa uchovu
-Huongeza ubora wa usingizi na kumbukumbu
-Huchelewesha kuzeeka
Huwafaa:
-Watu wenye upungufu wa calcium au wenye osteopororsis
-Watu wenye matatizo ya mifupa na maungio ya mifupa kama vile arthritis
-Watu wenye utapiamlo
-Watu wenye matatizo ya kinga
-Watu wenye anemia
Tsh 75,000 |
3. Calcium Capsule
Hufaa Kutumiwa Na:
-Watu wenye changamoto ya kupata calcium katika mlo wao wa kila siku
-Watu wenye upungufu wa calcium
-Wanawake wanaonyonyesha na wajawazito
-Wanawake waliokoma hedhi
-Watu wanaotumia calcium kwa uchache sana katika siku
4. Kidney Tonifying Capsule
Faida na Manufaa Yake:
Tsh 75,000 |
-Huondoa sumu zilizorundikana kwenye figo
-Huboresha ufanyaji wa tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume
-Husaidia ovari kuleta uwiano wa homoni za kike
Huwafaa:
-Wanaume wenye changamoto ya kinga
-Wanaume wagumba kutokana na kudhoofika kwa utendaji kazi wa figo
-Wanawake wenye mvurugiko wa hedhi
-Wanawake waliokoma hedhi
-Wanawake wenye matatizo ya kukoma hedhi
-Wanawake wenye uchovu sugu,arthritis na lumbago (maumivu ya upande wa chini wa mgongo)
Ugonjwa wa Maungio ya mifupa wa Osteoarthritis hutokana na kuisha kwa ute ute unaopatikana kati ya joint moja na nyingine. Huu ndio huzuia mifupa isisagane moja kwa moja. Pale ute huu unapokwisha mtu hupata ugonjwa huu. Kama unaumwa ugonjwa huu wa maungio ya mifupa,tafadhali wasiliana nasi upate msaada unaotakiwa ili kutatua tatizo lako mara moja.
Tuandikie kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie +255 673 923 959.