DAWA YA GOUT

1. Kidney Tonifying Capsule Faida na Manufaa Yake: Tsh 75,000 -Huzipatia figo nguvu na hivyo huboresha kazi ya uchujaji -Huond... thumbnail 1 summary



1. Kidney Tonifying Capsule



Faida na Manufaa Yake:

Tsh 75,000
-Huzipatia figo nguvu na hivyo huboresha kazi ya uchujaji
-Huondoa sumu zilizorundikana kwenye figo
-Huboresha ufanyaji wa tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume
-Husaidia ovari kuleta uwiano wa homoni za kike
Huwafaa:
-Wanaume wenye changamoto ya kinga
-Wanaume wagumba kutokana na kudhoofika kwa utendaji kazi wa figo
-Wanawake wenye mvurugiko wa hedhi
-Wanawake waliokoma hedhi
-Wanawake wenye matatizo ya kukoma hedhi
-Wanawake wenye uchovu sugu,arthritis na lumbago (maumivu ya upande wa chini wa mgongo)


2. Detoxin Pad



Tsh 60,000
Manufaa yake:

-Huondoa sumu na mabaki mwilini kupitia vijitundu vya kwenye ngozi
-Huondoa maumivu ya misuli,ngozi na maungio ya mifupa (joints)

Huwafaa sana:

- Watu wenye afya duni
-Watu wanaosimama muda mrefu
-Watu wanaotembea muda au umbali mrefu
-Watu wanaokaa kwenye mionzi ya komputa muda mrefu
-Watu wenye maumivu chini ya mgongo,misuli na kwenye maungio ya mifupa.


3. Chitosan




Tsh 60,000
Manufaa Yake:

-Hupunguza mafuta mengi kwenye damu
-Huzuia ini lisiharibiwe na sumu
-Huboresha utendaji kazi wa ini
-Huzuia na kusaidia uponywaji wa kansa ya tumbo

Hawafaa Sana:

-Watu wenye mafuta na sukari nyingi kwenye damu
-Watu wenye mafuta kwenye ini na matatizo mengineyo ya ini
-Watu wenye matatizo ya tumbo


4.Joint Health Capsule

Tsh 75,000


Manufaa na Faida Zake:

-Huondoa maumivu na kuvimba kwa maungio kunakosababishwa na arthritis
-Huzuia magonjwa ya kudhoofika joints kwa watu wenye umri wa kati na wazee
Huwafaa:
-Watu walioumia joint
-Watu wenye magonjwa ya kudhoofika joint kama vile rheumatoid na osteoarthritis
-Watu wenye gout


5. Compound Marrow Powder

Tsh 75,000


Faida Na Manufaa Yake:

-Huongeza calcium na magnesium ili kuondoa dalili za osteoporosis kama vile maumivu ya joint  na lumbago (maumivu chini ya mgongo)
-Huimarisha utengenezwaji wa damu
-Huimarisha kinga: huondoa uchovu
-Huongeza ubora wa usingizi na kumbukumbu
-Huchelewesha kuzeeka
Huwafaa:
-Watu wenye upungufu wa calcium au wenye osteopororsis
-Watu wenye matatizo ya mifupa na maungio ya mifupa kama vile arthritis
-Watu wenye utapiamlo
-Watu wenye matatizo ya kinga
-Watu wenye anemia


Gout ni ugonjwa wa maungio ya mifupa unaotokana na mrundikano wa uric acid kwenye maungio ya mifupa  inapokuwa haijatolewa nje ya mwili. Kidney tonifying capsule,detoxin pad na chitosan zinafanya kazi ya kuondoa hii uric acid nje ya mwili. Awamu ya pili,Joint health capsule na Compound marrow powder zitatumika kuimarisha joint zako.

Kama ugonjwa wa gout unakusumbua,na huenda umetafuta matibabu kwa namna kadha wa kadha bila mafanikio,wasiliana nasi kupata tiba sasa. Tuandikie kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie +255673 923 959.