MAFAO/MANUFAA YA MWANACHAMA WA GREEN WORLD

Manufaa Ya Green world Tanzania Hebu sasa tutazame kile ambacho ni kiini cha watu wengi kutafuta kujiunga na biashara mbali mbali... thumbnail 1 summary





Manufaa Ya Green world Tanzania



Hebu sasa tutazame kile ambacho ni kiini cha watu wengi kutafuta kujiunga na biashara mbali mbali pamoja na kampuni za tofauti tofauti za mtandao. Ni kwa jinsi gani utanufaika ukiwa mwanachama wa Green World,laweza kuwa swali linalokusummbua huenda! Ninachojua hakuna mtu anayejiunga na biashara yoyote bila wazo au kusudi la kunufaika kiuchumi hata kidogo. Na sasa ukiwa mwanachama wa Green world Tanzania,utanufaika na:


  1. Retail Profit
  2. Sponsoring Bonus
  3. Direct Bonus
  4. Indirect Bonus
  5. Leadership Bonus
  6. Honorary Bonus
  7. Special Awards



Retail Profit



Hii ni faida ya rejareja.Rejea mada yetu hapo juu,tumesema mtu akishajiunga na kampuni ya green world,anapewa nafasi ya kununua bidhaa kwa pungufu ya 20% na anaweza kuuza kwa faida ya 20% zaidi. Zaidi ya hayo,kampuni inakupa nafasi ya kufungua duka na ukuza bidhaa hizi kwa manufaa zaidi huku ikikupatia bonus ya duka pia.



Sponsoring Bonus




Ni malipo yanayotokana na kusajili wanachama wapya chini yako. Hii hutegemea nguvu ya mwanachama kuanza biashara.



Direct Bonus




Ukianza kujenga mtandao wako,utalipwa kulingana na manunuzi unayoyafanya kwenye kampuni. Hii itategemea ngazi uliyopo,kwa mfano utapewa 25% ya manunuzi kama uko ngazi ya 4 na 45% kama wewe uko ngazi ya 8. Hii ni sawa na kusema unaenda dukani,unanunua mchele,na mwisho wa mwezi unaenda kwa mwenye duka na kumwambia akurudishie asilimia kidogo ya kile ulichonunua kama asante kwako,hilo lingewezekana? Green world linawezekana.


Indirect Bonus


Ni malipo inayokupa kampuni kutokana na manunuzi ya wanachama uliowasajili kwenye kampuni. Haya pia hutegemea ngazi uliyopo,yaani ngazi ya juu utalipwa zaidi na ngazi aliyopo yule aliyesajiliwa chini yako.


Special Awards





Hizi ni zawadi utakazopewa na kampuni kwa kufikia malengo fulani ya kampuni. Kwa mfano ukifika ngazi ya sita ndani ya miezi 6 utapewa fursa ya kuzuru nje ya nchi hususani china kwa siku 14,ukifika ngazi ya 7 kwa mwaka mmoja utapewa gari ya thamani ya Tsh milioni 20. Lakini kwa kadri utakavyofanya vuzuri utapata gari nyingine ya thamani ya Tsh milioni 70 na pengine utafanikiwa kupata nyumba ya kifahari yenye thamani ya Tsh milioni 300.


Leadership Bonus




Ni malipo endelevu unayopewa kwa kuendelea kujenga mtandao wako. Malipo haya huanzia kwa mwanachama wa ngazi ya 5.



Honorary Bonus



 Hutolewa kwa wanachama waliofikia ngazi ya Director ambapo hupewa asilimia fulani ya pato la kampuni duniani.


Tumetazama kwa ufupi jinsi mwanachama wa Greenworld anavyoweza kunufaika kwa kujiunga na Greenworld. Ni wakati mwafaka kutafakari,kutafiti na hatimaye kuchukua hatua ili uweze kufikia uhuru wako wa kipesa.


Karibu sasa ujiunge na Greenworld ili uweze kufikia ndoto zako. Tuandikie kupitia maishaniafya@gmail.com au tupigie 0673 92 39 59.