1. Slimming Capsule
Hufanya Kazi Kwa:
Tsh 70,000 |
-Huongeza kasi ya uvunjwaji wa kemikeli ili kuunguza mafuta kama nishati mwilini
-Kupunguza uingizwaji wa kalori nyingi mwilini kwa kudhibiti ulaji
-Kusaidia kupunguza unene kwa usalama bila kurudiwa na unene na kuacha mikunyanzi
-Kupunguza unene na kuuremba mwili
Hufaa kwa:
-Watu walio kwenye mpango wa kupunguza uzito
-Watu wanaohitaji kudhibiti uzito
-Watu wanene kupita kiasi na wenye vitambi
Tsh 60,000 |
2. Meal Cellulose Tablets
Hufanya kazi kwa:
-Kusahihisha na kuimarisha mnyumbuliko wa chakula na afya
-Kupunguza lehemu kwenye damu
-Kupunguza sukari kwenye damu
-Kusaidia kupunguza Uzito
Hufaa kwa:
-Watu wanaokosa choo
-Watu wenye kiwango kikubwa cha mafuta kwenye damu
-Watu wenye sukari nyingi
-Watu wenye uzito kupita kiasi au wanaohitaji kudhibiti uzito wao
3.Chitosan Capsule
Tsh 60,000 |
Hufanya Kazi Kwa:
-Kupunguza lehemu kwenye damu na kupunguza uzito
-Kupunguza sukari
Hufaa kwa:
-Watu wanaopenda kupunguza uzito wao
-Watu walio na mafuta mengi na sukari nyingi kwenye damu
-Watu wenye ini lenye mafuta na matatizo mengine ya ini
-Watu wenye vidonda vya tumbo
4. Pro Slim Tea
Tsh 40,000 |
Hufanya kazi kwa:
-Kuharakisha umenyenywaji na uvunjwaji wa mafuta
-Kuunguza mafuta kama nishati vile ili kupunguza kiwango cha mafuta mwilini
-Kupunguza kufyonzwa kwa mafuta yaliyomenyenywa na hivyo kusaidia kupunguza uzito
Hufaa kwa:
-Watu wenye uzito kupita kiasi
-Watu wenye unene kupita kiasi na vitambi
-Watu wanaohitaji kudhibiti uzito wao
5. Lipid Care Tea
Tsh 40,000 |
Hufanya Kazi Kwa:
-Kuhamasisha uvunjwaji wa mafuta kwa haraka,kugeuza mafuta kuwa nishati kwa haraka na hivyo kupunguza uzito
-Kudhibiti kiwango cha mafuta kwenye damu
-Kuondoa sumu na kuleta matokeo ya urembo na kuvutia
Hufaa Kwa:
-Watu wenye familia zenye historia ya mafuta mengi mwilini
-Watu wenye uzito au unene kupita kiasi
-Watu wenye ini lenye mafuta
6.Intestine Cleansing Tea
Tsh 40,000 |
Hufanya kazi kwa:
-Kuimarisha mnyumbuliko wa chakula katika utumbo
-Kuondoa gesi tumboni na maumivu ya tumbo
-Kuimarisha utendaji kazi wa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
Hufaa kwa:
-Watu wanaohitaji kuondoa sumu mwilini
-Watu wanaokosa choo,wenye chunusi na mabaka meusi kwenye ngozi
Ni wazi kuwa ni muhimu kupunguza uzito wako pamoja na unene kufikia kiwango kinachotakiwa ili kuboresha afya yako. Unaweza kusoma mada ya Madhara ya unene au uzito uliopitiliza na Chanzo cha unene kupita kiasi. Zote zinakupelekea kuona umuhimu wa kupunguza uzito wako kwa usalama kabisa bila madhara.