Sababu Za Kuchagua Green world Tanzania
Greenworld ni kampuni inayotengeneza na kusambaza bidhaa zake kwa njia ya mtandao.Kuna kampuni nyingi za kimtandao hapa nchini kwetu tofati na Greenworld,na hapa nakuletea baadhi ya sababu zinazoitofautisha na makampuni mengine ya kimtandao.
Karibu.
1.Kianzio Cha Biashara Ya Kampuni Ya Green World
Kuanza biashara kwenye kampuni ya Green World ni rahisi sana. Kampuni hii haina kifurushi cha kuanzia kama ilivyo kwa wengine,isipokuwa ina kianzio kidogo tu cha Tsh 35,000 ambacho binafsi naamini Mtanzania yeyote anaweza kumudu. Kwa kulipa kiasi cha Tsh 35,000 utakuwa mwanachama kamili wa kampuni,ambapo utapewa kadi ya uanachama,kitabu kinachoelezea bidhaa za kampuni na DVD inayoelezea shughuli za kampuni.
2. Ubora Wa Bidhaa Za Green World
Bidhaa zinazosambazwa na kampuni ya Green world ni bidhaa takiwa katika jamii ya leo. Bidhaa hizi ni virutubisho kwa ajili ya afya ya kila mtu,kwa watoto,wanawake au wanaume. Hadi sasa kuna zaidi ya aina 100 ya bidhaa hizi na zote zimethibitishwa na Mamlaka ya chakula na dawa (FDA) ya marekani.Kila mtu aliyetumia bidhaa hizi amekuwa akiwambia ndugu zake,au rafiki zake juu ya ubora wa bidhaa hizi. Kwa hiyo kila siku soko la bidhaa za Green world limezidi kukua na kuongezeka.
3.Bei Za Bidhaa Za Green World
Bei za bidhaa za kampuni ya Green world zimepangwa kwa namna ambayo kila mtu anaweza kumudu,anunue bidhaa atumie na msambazaji wa bidhaa aweze kupata wateja wa kuzinunua kwa haraka.
4. Uimara Wa Kampuni
Naweza kusema hii ni kampuni ya kuaminika kwa sababu nyingi. Miongoni mwa sababu hizo ni zifuatazo;
-Inafanya utafiti wa bidhaa zake yenyewe na kugundua ufanisi wake kabla hazijamfikia mtumiaji
-Ina mashamba yake binafsi jambo linalofanya kuwe na uhakika wa kudumu wa upatikanaji wa bidhaa,na kila mwaka inatoa fursa kwa wanachama waliofanya vizuri kuzuru mashamba na viwanda vyake nchini China,na kuona uzalishaji unavyofanyika.
-Ina viwanda vyake yenyewe vinavyozalisha bidhaa hizi bila kemikali yoyote na hadi sasa zaidi ya nchi 70 duniani zimeridhishwa na ubora wa bidhaa hizi na kukubali kuzitumia. Hii ni uthibitisho tosha kuwa siyo kampuni ya kuja na kuchukua pesa za Watanzania na kisha kutoweka kama baadhi ya makampuni yalivyowahi kufanya hapo nyuma.
5.Mpango Wa Malipo Wa Greenworld
Naweza kusema ni mpango ulioandaliwa kumwinua mwanachama wake,ili kwa kufanya vyema na kufanikiwa, kampuni pia itafanikiwa. Ukiamua kufanya kazi kwa uaminifu ndani ya kampuni ya Green world kwa miaka 4 hadi 5 na kwa bidii kubwa kama ambavyo ungekuwa umeajiriwa ukafanya ili upate mshahara wa mwezi, utakuwa umefikia zaidi ya mafao ya kustaafu ambayo ungelipwa kwa kuajiriwa na kufanya kazi miaka 30 hadi 40! Hii ni kwa sababu mpango wa malipo wa kampuni hii ni bora kwa kweli.
Nadhani mwenyewe umeona na unaweza kulinganisha na kampuni zingine ulizowahi kufanya kazi au ulizowahi kuzisikia. Hebu endelea kufuatana nami katika mada inayofuata tutakapotazama Mafao/Manufaa ya kujiunga na kampuni ya Greenworld.
Je,unatafuta kujiunga na kampuni ya mtandao? Greenworld Tanzania ndiyo chaguo lako la uhakika. Wasiliana nasi kupata kadi yako ya uanachama uanze kuifaidi Greenworld mara moja. Tuandikie kupitia maisha au tupigie 0673 923 959.
Kwa maoni,ushauri au maswali usisite kutuandikia kpitia... na simu 0673 923 959