UGONJWA WA INI KUHARIBIKA-LIVER CIRRHOSIS
Liver cirrhosis ni ugonjwa wa ini kuharibika. Ni hali ya kuongezeka taratibu kwa tishu zenye makovu kwenye ini badala ya tishu zenye afy...
SARATANI YA INI-LIVER CANCER
SARATANI YA INI-LIVER CANCER
Saratani ya ini ni aina ya saratani ambayo huanzia kwenye ini. Saratani yoyote inayoanzia nje ya ini na kusambaa hadi kulifikia ini,hiyo... October 01, 2018UGONJWA WA MAFUTA KWENYE INI-FATTY LIVER DISEASE
UGONJWA WA MAFUTA KWENYE INI-FATTY LIVER DISEASE
Mwili hutunza mafuta sehemu mbali mbali za mwili kwa ajili ya kutengeneza nishati na kuunda ngozi. Ini pia limeundwa na kiwango fula... September 27, 2018UGONJWA WA INI
UGONJWA WA INI
Ini ni kiungo chenye ukubwa wa mpira wa miguu kilichofunukwa na mbavu upande wa kulia wa tumbo lako. Ini husaidia kumenyeng'enya ch... September 27, 2018UGONJWA WA FIGO WA POLISTIKI-POLYCYSTIC KIDNEY DISEASE (PKD)
UGONJWA WA FIGO WA POLISTIKI-POLYCYSTIC KIDNEY DISEASE (PKD)
Ni ugonjwa wa figo wa kurithi unaotokana na hitilafu kwenye vinasaba. Ugonjwa huu husababisha uvimbe kutokea ndani ya figo. Vibofu hiv... September 27, 2018MAAMBUKIZI KWENYE FIGO (PYELONEPHRITIS)
MAAMBUKIZI KWENYE FIGO (PYELONEPHRITIS)
Maambukizi kwenye figo ni moja ya magonjwa yatokanayo na maambukizi katika njia ya mkojo. Maambukizi haya huanzia kwenye mirija ya uret... September 26, 2018MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO-URINARY TRACT INFECTION (UTI)
MAAMBUKIZI KWENYE NJIA YA MKOJO-URINARY TRACT INFECTION (UTI)
Maambukizi kwenye njia ya mkojo ndio ugonjwa tunaoita UTI. Ni maambukizi kwenye sehemu yoyote katika mfumo wa mkojo. Mfumo wa mkojo huj... September 26, 2018UGONJWA WA KISUKARI WA FIGO-DIABETIC NEPHROPATHY
UGONJWA WA KISUKARI WA FIGO-DIABETIC NEPHROPATHY
Huu ni ugonjwa mwingine wa figo. Ni ugonjwa wa figo kwa mgonjwa mwenye tatizo la kisukari. Inakadiriwa kuwa asilimia 40 ya watu wenye u... September 25, 2018UGONJWA UNAOSABABISHA MWILI KUVIMBA-NEPHROTIC SYNDROME
UGONJWA UNAOSABABISHA MWILI KUVIMBA-NEPHROTIC SYNDROME
Ugonjwa wa figo unaosababisha mwili kuvimba,husababisha mwili kupoteza protini kwa wingi. Hii hutokana na sehemu ya figo inayochuja ... September 20, 2018UGONJWA WA KUHARIBIKA KWA VICHUJIO VYA FIGO (GLOMERULI)-GLOMERULONEPHRITIS (GN)
UGONJWA WA KUHARIBIKA KWA VICHUJIO VYA FIGO (GLOMERULI)-GLOMERULONEPHRITIS (GN)
Leo tunatazama ugonjwa mwingine wa figo wa kuharibika kwa vichujio vya figo(gomeruli). Huu ni mkusanyiko wa magonjwa yote yanayodh... September 20, 2018
Subscribe to:
Posts (Atom)