Kampuni ya Green world Tanzania ni tawi la Kampuni ya Green world USA yenye makao yake makuu Michigan nchini Marekani. Green world Tanzania ni moja kati ya matawi zaidi ya 70 ya kampuni hii yaliyoenea duniani kote. Ni moja kati ya matawi zaidi ya 23 katika bara la Afrika. Kampuni ya Green world ilianza kuingia Afrika mnamo mwaka 2007 katika nchi ya Afrika ya kusini. Mnamo mwaka 2008 kampuni ya Green world ilisajiriwa rasmi nchini Tanzania.
Ofisi Za Green World Tanzania
Kwa sasa ofisi za kampuni ya Green world Tanzania ziko Ilala kwenye jengo la Machinga Complex jijini Dar es salaam. Ni mkabala na uwanja wa karume. Hapa kuna bidhaa zote na mafunzo yote ya Green world.
Bidhaa Za Kampuni Ya Green World Tanzania
Green world Tanzania imesheheni bidhaa bora kwa ajili ya lishe na tiba kwa ajili ya kujenga,kuhifadhi,kulinda na kuboresha mwili. Watanzania waliofanikiwa kutumia bidhaa za Green world wamegundua kuwa ni mkombozi wa afya. Kwa bahati nzuri bidhaa hizi hushughulika moja kwa moja na chanzo cha tatizo. Labda niweke sawa kuwa bidhaa za Green world ni lishe na siyo kwamba ni madawa ya kutibu magonjwa. Kwa kuwa tatizo lolote la kiafya hutokana na chanzo fulani,basi kitendo cha kudhibiti chanzo husika,ndio utatuzi bora wa kuliondoa na kulidhibiti tatizo. Bidhaa hizi zimegawanyika katika makundi kadhaa;
1.Virutubishi vya kuondoa sumu mwilini
2.Virutubishi lishe (food supplements)
3.Virutubishi vya kuongeza kinga ya mwili
4.Virutubishi vya kuongeza hamu na ufanisi wa mapenzi kwa wanaume na wanawake
5.Virutubishi vya usafi binafsi
6.Mbolea ya maji ya green world
Nani Anaweza Kuwa Mwanachama Wa Green World Tanzania?
Mtu yeyote aweza kuwa na mwanachama wa Green world Tanzania. Uanachama wa mwanachama kwenye kampuni ya Green world,haujalishi elimu,jinsia, rangi,uraia ama kipato. Kwa ufupi kuna makusudi mawili ya Green world: kutengeneza na kusambaza bidhaa bora kwa ajili ya afya na kuinua uchumi wa wanachama pale anapowashirikisha watu wengine kutumia na kuuza bidhaa za Green world. Kwa hiyo mtu yeyote kati ya hawa aweza kuwa mwanachama wa Green world:
1. Mtu yeyote anayehitaji kuboresha afya.
Kwa kuwa bidhaa zetu ni lishe,zinamfaa kila mtu. Awe ni mwenye afya ya kati (sub-health),anayeumwa (sick) na asiyeumwa (healthy) ni muhimu kwake kutumia bidhaa za green world. Watu wengi wako katika hali hii ya kuwa na afya ya kati (sub-health) na ni wachache sana walio na afya kabisa,kwa takwimu za shirika la afya duniani (WHO) ni chini ya 5% duniani kote. Kwa kusema hivi ni kukwambia kuwa una wajibu wa kulinda afya kwa kuondoa sumu zinazoongezeka mara kwa mara kupitia vyakula na hali za kimazingira,kuongeza kinga ya mwili,kuongeza vitamini ambazo umekuwa ukizikosa kila siku katika chakula unachokula.
Ushauri wangu ni kuwa badala ya kununua bidhaa kwa matumizi binafsi kwa bei ya rejareja mara kwa mara,ni vizuri ukajiunga moja kwa moja ili uwe unanunua kwa bei ya mwanachama. Hii itakusaidia pia kuwanunulia ndugu,jamaa na marafiki ili waboreshe afya zao kwa bei ya wanachama,upo hapo!
2. Mtu yeyote anayeumwa
Bidhaa zetu zina uwezo mkubwa wa kudhibiti matatizo mengi sana yaliyo hatarishi na ambayo husumbua jamii kwa kiasi kikubwa. Labda nirudie kile nilichosema hapo kabla kuwa bidhaa za green world,hushughulika na chanzo cha tatizo na siyo tatizo. Njia bora ya kuzuia madhara yatokanayo na mti wenye uhaKama chanzo kimebainika vema na bidhaa sahihi zikatumika,basi utaona mabadiliko siku si nyingi na afya yako kuimarika.
3.Mjasiliamali
Kama tunavyojua kuwa mjasiliamali ni mtu anayebuni fursa na kuzifanyia kazi. Katika kampuni ya green world ni mahali sahihi kwa mjasiliamali kuwekeza,kwa sababu biashara ya kampuni ya green world haina hatari ya kupata hasara. Nasema hivyo kwa sababu,tofauti na makampuni mengine uliyowahi kuwa nayo ama kuyaona,green world unajipangia cha kufanya ili mradi usivunje utaratibu,kwa sababu ukijiunga tayari inakuwa ni biashara yako. Kama ambavyo ungeweza kuendesha biashara nyingine yoyote kwa uhuru na kujiamini,hapa pia una uhuru wa kujenga biashara yako kwa jinsi utakavyoona inakufaa kwa faida kubwa.
4. Mwenye Mtaji Mkubwa Na Hajui Afanye Nini
Kuna watu katika jamii wana pesa na hawajui wafanye nini. Na hii ni hatari maana ukiangukia mikononi mwa matapeli watakudanganya na kukuingiza kwenye biashara ambazo zitakutia hasara ya milele. Naomba nikushauri kuwa green world ni mahali sahihi na salama unapoweza kuwekeza kiasi chochote cha fedha bila kupata hasara kwa sababu ya mfumo wa biashara ya green world ulivyo.
Hii ni kwa sababu ya ubora wa bidhaa za green world. Ukweli ni kwamba mtu yeyote aliyefanikiwa kutumia bidhaa za green world hataweza kukaa kimya bila kumwambia ndugu,jamaa ama rafiki juu ya ubora wake. Labda hata wewe unajiuliza ukweli wa haya ninayosema hapa kwa sababu hujafanikiwa kuzitumia hata kidogo. Kwa kusema hivyo nataka kukuonesha kuwa soko la bidhaa zetu ni kubwa mno na linaongezeka kila siku. Wengi wametengeneza maduka ya bidhaa hizi,na wengine kliniki kwa ajili ya bidhaa hizi.
5.Asiye na Mtaji Na Anataka Biashara
Geen world tofauti na makampuni mengi ya mtandao unayoyafahamu,kuanza biashara kwa urahisi sana kuliko unavyoweza kufikiri. Wewe tafuta 30,000/= kisha njoo ujiunge na green world nasi tutakufundisha jinsi ya kutafuta masoko na haraka kabisa unaanza kuingiza pesa na kujenga biashara yako. Nakuhakikishia,kama hubabaishi,green world itakutoa baada ya muda mfupi. Kwa mfano utakapopata gari ndani ya mwaka mmoja wa kujiunga na green world bila pesa,yatakuwa mafanikio madogo kwako? Tafakari chkua hatua!
Jinsi Ya Kujiunga Na Green World
Kama nilivyodokeza hapo juu,kujiunga na green world ni rahisi sana kuliko unavyodhani. NI wa kiingilio cha Tshs 30,000 tu. Baada ya hapo utakuwa mwanachama kamili wa green world na kuanza kunufaika mara moja.
Je,Umependa Kujiunga Na Green World?
Tafadhali wasiliana nami kupitia simu namba 0673 923 959 na utapata maelekezo sahihi jinsi ya kufika ofisini kwetu na jinsi ya kujiunga na green world Tanzania.