Kazi na Faida za Balsam Pear Tea
.Kukarabati Beta cells za kongosho linalohusika na utoaji wa insulin,
.Polypeptide P - insulin ya mmea hupunguza sukari na lipids kwenye damu,
.Kuzuia ufyonzwaji wa sukari katika utumbo mdogo, na kupunguza sukari kwenye mzunguko wa damu
.Kuepusha madhara ya kisukari kama kiu na
kukauka mate.
Yafaa kwa
- Watu wenye upungufu wa sukari katika damu
- Watu wenye kisukari
Viungo:Balsam Pear Powder, Green Tea Powder
Maelezo Muhimu:
Plant insulin ni viungo asili vilivyo kwenye mimea vinavyoweza kufanya kazi kama insulin ili kupunguza kiwango cha glucose katika damu. Plant insulin ina uwezo wa kuhimili mazingira ya tindikali na enzyme ndani ya tumbo. Kwa hiyo inaweza kutumiwa mara kwa mara na kupunguza vizuri kiwango cha sukari ndani ya damu na kwa usalalma.
Plant insulin ina uwezo wa kukarabati seli za kongosho zilizodhoofika, kuzisaidia seli za Beta kutengeneza insulin na hivyo kupunguza kiwango cha sukari mwilini. Kadri tiba itavyoendelea, seli za kongosho zitarudia kwenye hali yake. Plant insulin huondoa sukari na mafuta, husaidia mzunguko wa damu na kupunguza mgandamizo wa damu (blood pressure). Plant insulin pia huzuia glucose isifyonzwe katika utumbo mdogo.
Tatizo la Kisukari
1. Kisukari huwashika zaidi wafuatao;
. Watu wenye uzito mkubwa (wanene) wenye umri wa zaidi ya miaka 40;
. watu waliozaliwa kwenye familia zenye historia ya kuwa na kisukari;
. Watu waliokwisha kuwa na kiwango kikubwa cha sukari au matatizo ya ufanyaji kazi wa miili yao (matabolic disorder).
2. Mtu huitwa mwenye sukari inayopanda ikiwa:
. Kabla ya kula: Kiwango cha sukari huwa 6.1-7.0 mmol/L;
. Baada ya kula: Kiwango cha sukari huwa 7.8 11.1 mmol/L.
3. Mtu mwenye kisukari ni yula ambaye:
. Kabla ya kula: Kiwango cha sukari > 7.1 mmol/L;
. Baada ya kula: Kiwango cha sukari >11.1 mmol/L.
Madhara Ya Kisukari
- Kuharibu vijishipa vidogo vya damu: Kwenye macho husababisha uharibifu wa lensi ya macho (cataract), uharibifu wa neva (optic nerve) na kusababisha kutoona vizuri au upofu, na matatizo mengine ya macho.
- Kuharibu mfumo wa fahamu.
- Kukatwa viungo vya mwili.
Chakula Kwa Mgonjwa Wa Kisukari
-Mgonjwa wa kisukari inatakiwa apate chakula kulingana na umri, uzito wake na kazi anayoifanya.
- Uwiano wa wastani unaotakiwa ni: Chakula cha wanga asilimia 55-60, chakula chenye asili ya mafuta asilimia 25-30 na protini asilimia 10-15.
Ufanyaji Kazi wa Balsam Pear Tea
Balsam Pear ambayo pia hujulikana kwa majina ya "cool melon" au "bitter gourd", ina viwango vikubwa vya vitamini B1, vitamini C na madini. Huondoa kiu, huuburudisha mwili na kuongeza kasi ya ufanyaji kazi ya mwili. Husaidia mmeng'enyo wa chakula na kuondoa tatizo la kutopata choo.
Balsam pear iligundulika kuwa na charantin ambayo imeonyesha kupunguza sukari (hypoglycaemic effect) kwa watu wasio na tatizo na wale wenye kisukari. Ilionyesha pia kuongeza uwezo wa mwili wa kuikubali insulin.
Balsam pear iligundulika pia kuwa na lectin yenye tabia za insulin na kwa sababu hiyo huitwa insulin ya mimea (plant insulin). Uwepo wa lectin una faida ya kuzuia kupata kisukari katika umri mkubwa, au kisukari kinachoitwa Type II diabetes.
Ukinywa balsam pear tea, kwanza utasikia uchungu halafu utamu kwa mbali. Unywaji wa balsam mfululizo hauzuii kisukari peke yake bali hukuongezea mwilini vitamini mbalimbali na madini.
Kiungo muhimu ni insulin itokanayo na mimea - plant insulin - ambacho huboresha
Uchungu ndani ya balsam pear tea husababisha utoaji wa mate kutoka kwenye tezi za mate (salivary glands) na kuondoa hali ya kukauka mate na kusikia kiu.
Green tea imetumika kwa miaka mingi na wachina katika kuondoa maumivu ya kichwa, maumivu ya mwili, kusaidia mmeng'enyo wa chakula na kuongeza urefu wa maisha. Green tea ina uwingi wa bioflavonoids, polyphenols,vitamini na madini.
Kiungo cha green tea kinaweza kupunguza pressure, kisukari , kansa n.k. Green tea pia inaondoa radikali huru mwilini na ioni huru (free ions).
.