GARLIC OIL

Kazi Na Faida Za Galic Oil -Inazuia na kuua aina nyingi za wadudu wa magonjwa -Inapunguza uzito wa damu na kupunguza kiwango cha ... thumbnail 1 summary



Kazi Na Faida Za Galic Oil

Garlic Oil Softgel
-Inazuia na kuua aina nyingi za wadudu wa magonjwa
-Inapunguza uzito wa damu na kupunguza kiwango cha cholesterol katika damu
-Inazuia atherosclerosis na magonjwa ya moyo yatokanayo
-Kulinda mifumo ya mishipa ya moyo na ubongo kwa kupunguza msukumo wa damu mwilini


Hufaa Kwa:

-Magonjwa ya ufanyaji kazi wa viungo kama pressure ya juu, kisukari na cholesterol kuwa nyingi
-Watu wenye magonjwa sugu ya maambukizi kama candidiasis

Viungo:


Garlic oil.

Maelezo Muhimu:



Kuhusu Garlic:



Garlic imejizolea umaarufu mkubwa Afrika na huko Asia kwa thamani yake katika mapishi. Utafiti wa kisasa umehakikisha faida za tiba ya garlic kwa sababu ya uwingi wa viungo vilivyomo ndani yake, kama alliin, alliinase, allicin, S-allylcysteine, diallyl sulfide na allyl methyl sulfide. Garlic ni chanzo cha selenium katika chakula. Ikiwa imepewa jina la "smelling rose", garlic inajijengea umaarufu ambao hauwezi kupata mpinzani katika medani hii maarufu ya virutubisho vya kiada.

Huzuia Bakteria (Anti-microbial property):

Utafiti wa kisayansi katika nchi nyingi unaonyesha kuwa garlic oil inazuia na kuua aina nyingi za vijidudu kama bakteria, fungus waletao magonjwa, virusi, amoeba protozoon, trichomoniasis na vimelea (parasites). Garlic Oil Softgel inaweza kutumika kama antibiotic ya kiasili.

Ni Antioxidant:

Ufanyaji kazi wake kama antioxidant unausaidia mwili kuondoa radikali huru, ambazo zinaweza kuvuruga ufanyaji kazi wa mwili na kusababisha kansa.

Kupunguza Cholesterol Katika Damu:

Garlic oil inapunguza kiwango cha lipids nyepesi au cholesterol mbaya, hatua ambayo inasaidia dhidi ya magonjwa ya moyo yanayosababishwa na atherosclerosis. Muhimu zaidi ni kuwa inapunguza kiwango cha cholesterol na triglycerides katika mwili kwa jumla. Kemikali zilizopo ndani ya garlic oil zinasidia ujenzi wa cholesterol (HDL) cholesterol).


Hupunguza Pressure:

Garlic Oil inafanya kazi ya kupunguza uzito wa damu na imedhihirika kufanya kazi ya kuzibua mishipa ya damu na kuzuia atherosclerosis. Uwezo huu wa Garlic wa kuifanya damu kuwa nyepesi ni muhimu katika kuzuia kiharusi na kuziba kwa mishipa ya damu. Kutumia garlic oil vile vile kunasaidia katika kushusha kiwango cha sukari katika damu.

Kupunguza Sukari Mwilini:

Kunywa vidonge vya garlic oil softgel kumeripotiwa kuwa kunapunguza viwango vya sukari katika damu na kuongeza serum insulin. Upunguzwaji wa sukari katika damu unategemea kiungo kilichoko ndani ya garlic oil, allicin, kitu kinachochangia harufu kali ya kipekee ya garlic.